PostGE2025 Kesi ya Lissu: Mahakama yaagiza Kizimba cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone. Kesi kuendelea Feb 12, 2026

PostGE2025 Kesi ya Lissu: Mahakama yaagiza Kizimba cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone. Kesi kuendelea Feb 12, 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hii kesi inaichafua nchi tu
Naomba radhi kabla ya yote.
Najuwa lengo la haya maneno yako; lakini kiuhalisia kabisa, kweli bado kuna nchi inayoitwa Tanzania ambayo bado inaweza kuchafuliwa zaidi ya ilivyo chafu tayari?

Hata bila ya hii kesi, Tanzania tayari ilishavuka kiwango cha kuwa chafu. chini ya watu waovu hawa.
 
Mimi ningekuwa judge ama ningekuwa nimeshauawa na Serikali ya majambazi au wangehakikisha sipangiwi kesi ambazo nia yake ni kulinda maslahi ya mtandao wa majambazi.
Kwa maana hiyo hiyo, wooote wanaokubali kuitumikia serikali haramu katika ngazi zote sasa hivi wanaowajibu huo huo kama unaomtakia jaji huyu.

Sasa sijui kufanyike jambo gani kuwastuwa hawa wooote waone kuwa ushiriki wao ni sehemu ya kuikandamiza nchi yetu.
 
I guess the mazafakas are too selfish to put the interests of the country ahead of theirs!
 
Mtatulia hadi 2030 na hamna la kufanya
Subiri kidogo hiyo mitutu ya bunduki mnayoitegemea itakapo anza kuwaelekea ndipo utakapotambua hiyo 2030 kuwa ni ndoto mbaya kwenu.
 
Back
Top Bottom