Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Ndio kifuatachooo hapo wataomba poooo......Baada ya serikali kufunga ushahidi leo
Ushauri wangu kwa Lissu na jopo lake ndio. Itakafuka wakati wa mashahidi wenu, basi tuanze na shahidi Samia Suluhu
Baada ya serikali kufunga ushahidi leo
Ushauri wangu kwa Lissu na jopo lake ndio. Itakafuka wakati wa mashahidi wenu, basi tuanze na shahidi Samia Suluhu
Wamo Wambura, Majaliwa,Samia, Mpango na Mkurugenzi wa TISSBaada ya serikali kufunga ushahidi leo
Ushauri wangu kwa Lissu na jopo lake ndio. Itakafuka wakati wa mashahidi wenu, basi tuanze na shahidi Samia Suluhu
Wamewela mpira kwapaniHaiwezekani upande wa mashtaka wafunge ushahidi na wakati kuna karibia nusu ya hao mashahidi wake hawajafika bado mahakamani.
Wamezingua sana akina Katuga. Kama walijua hawaendelei si wangesema hiyo ijumaa mapema.Haiwezekani upande wa mashtaka wafunge ushahidi na wakati kuna karibia nusu ya hao mashahidi wake hawajafika bado mahakamani.
Ila Lissu apewe heshima yake. Tuwe wa kweli.Jamuhuri walishakata moto muda mrefu. Kesi ilikuwa ya mchongo ili kumzuia Lisu kupambana na muuaji Samia kwenye uchaguzi wa 2025. Sasa Lisu atoke aanze kuwapelekea moto.
Kweli kabisa. Huyo awe wa mwisho kutoa ushahidiAanze na hao akina Wambura kwanza. Hivi Muliro naye hayupo kwenye hiyo list? Wakiitwa hao hakutakuwa na mapingamizi. Baadaye ndipo wampandishe yeye kizimbani kutoa ushahidi.
Na wakimtoa baada ya kuwagaragaza mchana kweupe, watambue fika umaarufu wa huyu jamaa umeongezeka maradufu. Kwa hiyo wategemee mafuriko kwenye mikutano yake.Ila Lissu apewe heshima yake. Tuwe wa kweli.
Jamaa wanaona aibu wasiyempenda hataki kuomba msamaha maana anajua hana kosa, na kwenye kesi kawashinda.Ila Lissu apewe heshima yake. Tuwe wa kweli.
Wanaweza wakamuachia 2028Jamuhuri walishakata moto muda mrefu. Kesi ilikuwa ya mchongo ili kumzuia Lisu kupambana na muuaji Samia kwenye uchaguzi wa 2025. Sasa Lisu atoke aanze kuwapelekea moto.
Unaendelea kuongeza tatizoWanaweza wakamuachia 2028
Hata wakimuachia 2050, bado kawashinda kwenye kesi ya mchongo. Hiyo madhila mengine tunayaweka kwenye lile kundi la kumpiga risasi.Wanaweza wakamuachia 2028