Atakuja tu hata kwa kutekwa.SAmia hawezi kuja kutoa ushahidi, hiyo haiwezi kutokea.
Umechachawa.... tuliza mshono bado!!!Haiwezekani upande wa mashtaka wafunge ushahidi na wakati kuna karibia nusu ya hao mashahidi wake hawajafika bado mahakamani.
Mimi ni mwananchi mlipakodi. ninahitaji kuona kodi yangu inatumika vizuri. Mashahidi 13 warejeshwe mahakamani kutoa ushahidi.Umechachawa.... tuliza mshono bado!!!
Leta kifungu cha sheria.. Unasema wewe ni wakili halafu unaongea kienyeji kama chawa.. Leta vifungu hapaMkuu nazunguzia issue ambayo ninaijua kwa kiasi kikubwa nikiwa ni wakili. Nazunguzia sheria ilivyo (procedure and practice).
Ni vigumu kupata fidia kwa sheria zetu zilivyo. Japo Kuna room ya Lissu kuanzisha hayo madai
SiletiLeta kifungu cha sheria.. Unasema wewe ni wakili halafu unaongea kienyeji kama chawa.. Leta vifungu hapa
Basi mpunguza ujuaji, Uongo na ulaghaiSileti
Unachobisha haswa ni nini? Subiri tarehe 21, mahakama itatoa hukumu ya iwapo mtuhumiwa ana case ya kujibu ama la. Based on ushahidi wa jamhuri most probably hakuna case ya kujibu. Swala la fidia, kumwita Samia kuwa shahidi, ni kupoteza muda. Sina kifungu chochote, hapo vipi?Basi mpunguza ujuaji, Uongo na ulaghai
Usifanananishe kiungo muhimu na upuuzi wa Katuga.Nassoro katuga na mama yake wote ni pumbu tu
Mashahidi watahitajika iwapo kuna kesi ya kujibuBaada ya serikali kufunga ushahidi leo
Ushauri wangu kwa Lissu na jopo lake ndio. Itakafuka wakati wa mashahidi wenu, basi tuanze na shahidi Samia Suluhu
Hao mpaka waje mahakamani ni miaka 3-5 mbele.Baada ya serikali kufunga ushahidi leo
Ushauri wangu kwa Lissu na jopo lake ndio. Itakafuka wakati wa mashahidi wenu, basi tuanze na shahidi Samia Suluhu