Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Hiyo itakuwa ni show ya kukata na shoka.
Mchawi ni rulling. Kama rulling itatolewa mwezi ujao na ikawa upande basi atatoka maana hakuna ushahidi wa uhaini. Ila kama mahakama italazimisha uongo basi inaweza kwenda mpaka 2030 maana hao mashahidi wabishi sana.Wanaweza wakamuachia 2028
Kwa Lissu au nani? Lissu kashavuka level hizo.. Hata leo si umeona amekataa kesi kuisha kienyeji?Najua what will happen. Mahakama itatoa ruling in favor of defense. Then watasema suala limemalizika kimahakama! Watch out
Lakini baada ya case ya jamhuri kuisha kinachofuata ni ruling ya ikiwa ana case ya kujibu au la. Ikitoka hana case ya kujibu shauri linaishia hapo. Atajitetea nini Sasa ikiwa hana case ya kujibuKwa Lissu au nani? Lissu kashavuka level hizo.. Hata leo si umeona amekataa kesi kuisha kienyeji?
Nani kakuambia kesi inaisha hivyo? Je, akitaka alipwe kwa hasara walomsababishia? Watakataa kwamba kesi ishaisha?Lakini baada ya case ya jamhuri kuisha kinachofuata ni ruling ya ikiwa ana case ya kujibu au la. Ikitoka hana case ya kujibu shauri linaishia hapo. Atajitetea nini Sasa ikiwa hana case ya kujibu
Kwanini?SAmia hawezi kuja kutoa ushahidi, hiyo haiwezi kutokea.
Mkuu nazunguzia issue ambayo ninaijua kwa kiasi kikubwa nikiwa ni wakili. Nazunguzia sheria ilivyo (procedure and practice).Nani kakuambia kesi inaisha hivyo? Je, akitaka alipwe kwa hasara walomsababishia? Watakataa kwamba kesi ishaisha?
SwadaktaBaada ya serikali kufunga ushahidi leo
Ushauri wangu kwa Lissu na jopo lake ndio. Itakafuka wakati wa mashahidi wenu, basi tuanze na shahidi Samia Suluhu
Rais hawezi kulazimishwa kutoa ushahidiKwanini?
Mbona Mkapa alipanda kizimbani Kisutu kutoa ushahidi kwa ajili ya Balozi wa zamani wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu kwenye kesi ya ufisadi?
Lissu anasema anamtaka shahidi wake wa kwanza awe Samia, Mpango, Kassim, IGP hahahhhaBaada ya serikali kufunga ushahidi leo
Ushauri wangu kwa Lissu na jopo lake ndio. Itakafuka wakati wa mashahidi wenu, basi tuanze na shahidi Samia Suluhu
Politics tu hata yeye anajua hilo haiwezekaniLissu anasema anamtaka shahidi wake wa kwanza awe Samia, Mpango, Kassim, IGP hahahhha
Kesi ya mchongo ya kubambikizia imeanzishwa kwa maelekezo yake.Rais hawezi kulazimishwa kutoa ushahidi
Hukumu ya case ya jinai inategemea ushahidi wa jamhuri. Pamoja na utetezi wa mshtakiwa. Kukosa shahidi hakuharibu case ya jamhuri.Kesi ya mchongo ya kubambikizia imeanzishwa kwa maelekezo yake.
Akiitwa kama shahidi muhimu akikataa kutoa ushirikiano kesi yake inakata moto
Ngoja tuonePolitics tu hata yeye anajua hilo haiwezekani
Watu oyoooooo! ✊️✊️✊️✊️Jamuhuri walishakata moto muda mrefu. Kesi ilikuwa ya mchongo ili kumzuia Lisu kupambana na muuaji Samia kwenye uchaguzi wa 2025. Sasa Lisu atoke aanze kuwapelekea moto.
Jamaa akitoka na akapewa mkanda mzima wa 29 October, lazima aruke na watu kisheria.Jamuhuri walishakata moto muda mrefu. Kesi ilikuwa ya mchongo ili kumzuia Lisu kupambana na muuaji Samia kwenye uchaguzi wa 2025. Sasa Lisu atoke aanze kuwapelekea moto.