Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,901
- 27,423
Heche hakupaswa kumtaja Polepole katika ushahidi wake, swala la Polepole kutekwa ni controversial, mpaka sasa ushahidi usio na shaka ni kwamba Polepole alikuwa nje ya nchi na hakuwa nchini wakati nasemekana alipotekwa. Ingawa , kuna dalili kuwa aliingia nchini kwa njia za panya, akiingia kutokea Malawi or Zambia, hakupita immigration offices ili kukwepa kuonyesha passport na kugundulika.Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji kuhusu utekaji mwingine unaoufahamu.
Heche: Waheshimiwa Majaji, kuna tukio la kutekwa kwa aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole. Alikuwa Mbunge, Balozi na Mkuu wa Wilaya (DC).
Kuna pia matukio ya kutekwa kwa Mdude Nyangali, mwanachama wa CHADEMA kutoka Mbozi, ambaye mpaka sasa haijulikani alipo tangu mwaka 2024.
Pia kuna Deudedith Soka, Mwenyekiti wa Vijana wa CHADEMA kutoka Temeke.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
Watu wanasoma kinachoendelea mahakamani wewe unapoteza umakini wa watu, unajisikiaje ? Acha upumbavu wako. Hukumu inatolewa na Mahakama wewe kinachokuwasha nini mpuuzi mkubwa wewe. 🖕Heche hajui tofauti ya Siasa na Sheria. Anapiga siasa Mahakamani 🤣 🤣 🤣
Vipi Katuga kuhusu kumwuliza Mnyika kuhusu pesa za tone tone.?Heche hakupaswa kumtaja Polepole katika ushahidi wake, swala la Polepole kutekwa ni controversial, mpaka sasa ushahidi usio na shaka ni kwamba Polepole alikuwa nje ya nchi na hakuwa nchini wakati nasemekana alipotekwa. Ingawa , kuna dalili kuwa aliingia nchini kwa njia za panya, akiingia kutokea Malawi or Zambia, hakupita immigration offices ili kukwepa kuonyesha passport na kugundulika.
Swala la Polepole lazima Mawakili wa Serikali walikimalie kwenye cross examination
Wewe leta updates. Kama umeshindwa acha sisi tutaleta. Usijipe umuhimu na Umungu mtu hapa. IdiotWatu wanasoma kinachoendelea mahakamani wewe unapoteza umakini wa watu, unajisikiaje ? Acha upumbavu wako. Hukumu inatolewa na Mahakama wewe kinachokuwasha nini mpuuzi mkubwa wewe. 🖕
TUNDU LISSU ANAMHOJI SHAIDI WAKE JOHN HECHE MAHAKAMANI
SEHEMU YA 10.
Lissu: Ni kiongozi gani, nikiwa hospitalini, alikuja Nairobi?
Heche: Makamu wa Rais Samia alienda Nairobi na baadaye Nairobi Hospital, alipokuwa Tundu Lissu.
Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji kama Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi walinitembelea hospitalini nilipokuwa nimelazwa, pamoja na mke wake.
Heche: Hilo nalikumbuka, na lilitangazwa hadharani kuwa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi na mkewe walimtembelea Nairobi.
Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji kama Mawaziri Wakuu Fredrick Sumaye, Joseph Sinde Warioba na Edward Ngoyai Lowassa walinitembelea Nairobi.
Heche: Waheshimiwa Majaji, nina kumbukumbu ya Fredrick Sumaye na Lowassa kumtembelea hospitalini, ila sina kumbukumbu ya Warioba.
Lissu: Una kumbukumbu ya Jaji Mstaafu Othman Chande kunitembelea hospitalini?
Heche: Waheshimiwa Majaji, nina kumbukumbu ya Jaji Mstaafu Othman Chande kumtembelea hospitalini.
Lissu: Waeleze Waheshimiwa Majaji, kwa ufahamu wako, waeleze kama Pindi Chana alinitembelea Nairobi Hospital.
Heche: Waheshimiwa Majaji, nina kumbukumbu kuwa Pindi Chana alimtembelea Nairobi Hospital.
Lissu: Shahidi, nimekuuliza swali hili kwa sababu nataka nikuulize swali hili. Wewe ulienda mara ngapi na umetumia muda gani?
Heche: Waheshimiwa Majaji, nimeenda mara nyingi na, kwa kukadiria muda, nimekaa kama mwezi mmoja na nusu.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
Atasema amemtaja kwasababh anaonyesha vile gvt inawateka wale wote wanaoikosoaWatu wanasoma kinachoendelea mahakamani wewe unapoteza umakini wa watu, unajisikiaje ? Acha upumbavu wako. Hukumu inatolewa na Mahakama wewe kinachokuwasha nini mpuuzi mkubwa wewe. 🖕
Sio mtumwa wa wazungu na umejipa id ya president of China!😂Unakwama wapi 🌈?Mimi ni Mtanzania halisi. Mimi siyo mtumwa wa wazungu
Tindo na mtindio wa ubongo vinaendana 🤣 Kila mtu anajua wanaotetea Ushoga ni Lissu na wafuasi wakeSio mtumwa wa wazungu na umejipa id ya president of China!😂Unakwama wapi 🌈?
Utaleta updates wakati ww ni kibaraka wa serekali hii ya majizi na wauaji, waliogomea hiyo kesi kuwa mubashara? Kama sio hawa wasamaria wema saa hii mngekuwa mnatulisha ule upuuzi wa kura 31m bila wapiga kura hao vituoni.Wewe leta updates. Kama umeshindwa acha sisi tutaleta. Usijipe umuhimu na Umungu mtu hapa. Idiot
| Upande |
|---|
| 🔴 KUNYONGWA MPAKA KUFA 91% |
| 🟢 KUACHIWA HURU 9% |
We nawe tafuta mume sasa akuoe! Hizo ashki zinakimbilia kichwani ..Heche is out of context - Anatakiwa kuleta ushahidi kwamba Lissu hakuhamasisha uasi
Wewe Kibaraka wa mashonga? 🤣 🤣 🤣 🤣Utaleta updates wakati ww ni kibaraka wa serekali hii ya majizi na wauaji, waliogomea hiyo kesi kuwa mubashara? Kama sio hawa wasamaria wema saa hii mngekuwa mnatulisha ule upuuzi wa kura 31m bila wapiga kura hao vituoni.
Wewe umepata?We nawe tafuta mume sasa akuoe! Hizo ashki zinakimbilia kichwani ..
Mimi tayari nna wake watatu,nafasi Moja iPO wazi kwajili yako bibie!!Wewe umepata?
Ok furahii sasa
Upande 🔴 KUNYONGWA MPAKA KUFA 91% 🟢 KUACHIWA HURU 9%
Lissu akinyongwa ni furaha ya watanzania woteOk furahii sasa
Sawa na lissu kaliweka makusudi hili liwe sehemu ya ushaidi wake kwamba CCM na Mafisadi wake awachagui mtu wa chama fulani, yoyote anaeonyesha kuwapinga wanamuangamiza, hii itakuwa big turning point kwamba serikali hii ni onevu, nyonyaji na yenye kuumiza watu wake kwa kutofautiana kwa maoni na hoja.Heche hakupaswa kumtaja Polepole katika ushahidi wake, swala la Polepole kutekwa ni controversial, mpaka sasa ushahidi usio na shaka ni kwamba Polepole alikuwa nje ya nchi na hakuwa nchini wakati nasemekana alipotekwa. Ingawa , kuna dalili kuwa aliingia nchini kwa njia za panya, akiingia kutokea Malawi or Zambia, hakupita immigration offices ili kukwepa kuonyesha passport na kugundulika.
Swala la Polepole lazima Mawakili wa Serikali walikimalie kwenye cross examination