Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Tundu Lissu ni mashine nyingine hadi sasaivi tu kuna Watazamaji Elfu 32 kwenye Channell 2 tu za YouTube.
Ni wapi ameongelea hilo ulilolileta? Au wewe ndiye Ponjoro?Na huo wingi ndo utasababisha aachiwe?
Unadhani wakati hakimu au jaji atakuwa anasoma maamuzi atafanya rejea ya watazamaji kwenye you tube?
Tulieni sheria ifuate mkondo wake. Hana hatia ataachiwa, anayo hatia sheria itafuata mkondo wake.
Ponjoro wako wengi sana achana naye.Ni wapi ameongelea hilo ilileta? Au wewe ndiye Ponjoro?
Rejea shairi la " nikizipata bunduki" mohamed seif khatibuNa huo wingi ndo utasababisha aachiwe?
Unadhani wakati hakimu au jaji atakuwa anasoma maamuzi atafanya rejea ya watazamaji kwenye you tube?
Tulieni sheria ifuate mkondo wake. Hana hatia ataachiwa, anayo hatia sheria itafuata mkondo wake.
Sasa hivi niasoma milioni 9 Channel ya Mahakama na millioni 16 Millard Ayo..jumla millioni 14Sasahivi inasoma Watazamaji elfu 14 channel ya Millard Ayo tu na Elfu 12 Channel ya Mahakama
Link iko wapi nasi tuone
Siyo lazima tufanane mawazo kwenye siasa za kihuni!Ni wapi ameongelea hilo ilileta? Au wewe ndiye Ponjoro?
nilijua milioni30 kumbe ni elfu 13 dah 🐒Tundu Lissu ni mashine nyingine hadi sasaivi tu kuna Watazamaji Elfu 30 kwenye Channell 2 tu za YouTube.
View attachment 3353328View attachment 3353329
Inasaidia nini. Ila wapiga deal bwana. Kwahiyo Hapa mnapeleka kwa wanao walipa mpate mchuzi. Washenzi Sana.Tundu Lissu ni mashine nyingine hadi sasaivi tu kuna Watazamaji Elfu 32 kwenye Channell 2 tu za YouTube.
View attachment 3353362View attachment 3353363
Na huo wingi ndo utasababisha aachiwe?
Unadhani wakati hakimu au jaji atakuwa anasoma maamuzi atafanya rejea ya watazamaji kwenye you tube?
Tulieni sheria ifuate mkondo wake. Hana hatia ataachiwa, anayo hatia sheria itafuata mkondo wake.
Nyie wauaji mlitegemea nini?Na huo wingi ndo utasababisha aachiwe?
Unadhani wakati hakimu au jaji atakuwa anasoma maamuzi atafanya rejea ya watazamaji kwenye you tube?
Tulieni sheria ifuate mkondo wake. Hana hatia ataachiwa, anayo hatia sheria itafuata mkondo wake.