Mnashabikia uwingi wa watazamaji!! Ama bado mna safari ndefu sanaSasahivi inasoma Watazamaji elfu 14 channel ya Millard Ayo tu na Elfu 12 Channel ya Mahakama
Mnashabikia uwingi wa watazamaji!! Ama bado mna safari ndefu sanaSasahivi inasoma Watazamaji elfu 14 channel ya Millard Ayo tu na Elfu 12 Channel ya Mahakama
SIYO LAZIMA NIANDIKE UNAVYOTAKA ILI UELEWE NANI KASEMA!Nani kasema haya?
View: https://www.youtube.com/live/tXWfXizrZ8M?si=7g7NRpdyCfH0ECGV
Hii sasa leo ndio LIVE.
Tushuhudie chura kiziwi anavyoenda kupata aibu ya mwaka.
Hzo sinema mnazozitengeneza mtajutia siku moja!Nyie wauaji mlitegemea nini?
Nitafutie shughuli ya Samia iliyokuwa na viewers elfu 3 tu live.Mnashabikia uwingi wa watazamaji!! Ama bado mna safari ndefu sana
Unafuatilia kesi kwanza ?Baadae urudi hapa tena kutujuza aibu aliyopata
elewa ni kwa nini watu wengi wanafuatilia kesi hii, Lissu ni next level mjubaNa huo wingi ndo utasababisha aachiwe?
Unadhani wakati hakimu au jaji atakuwa anasoma maamuzi atafanya rejea ya watazamaji kwenye you tube?
Tulieni sheria ifuate mkondo wake. Hana hatia ataachiwa, anayo hatia sheria itafuata mkondo wake.
Hapana sifuatilii kwani nna uhakika nyie mnafatilia mtakuja tu kutuhadithiaUnafuatilia kesi kwanza ?
Maana kama unafuatilia kesi utakuwa umeshaona aibu inayoendelea.
Ya Samia wanafatilia watu kama 100 tu hv. Lakni ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu.Nitafutie shughuli ya Samia iliyokuwa na viewers elfu 3 tu live.
Kama huelewi maana ya mtu kufuatiliwa sana wewe ni ponjoro wa mwisho kabisa.
There is always a sheep who's ready for sacrifice.Na huo wingi ndo utasababisha aachiwe?
Unadhani wakati hakimu au jaji atakuwa anasoma maamuzi atafanya rejea ya watazamaji kwenye you tube?
Tulieni sheria ifuate mkondo wake. Hana hatia ataachiwa, anayo hatia sheria itafuata mkondo wake.
Wengi wanaofuatilia hiyo kesi mitandaonu ni wakenyaTundu Lissu ni mashine nyingine hadi sasaivi tu kuna Watazamaji Elfu 32 kwenye Channell 2 tu za YouTube.
View attachment 3353362View attachment 3353363
Hao Milioni 60 Watanzania milion 20 Ni watoto na Wazee Sana na Wengine wakiwa wagonjwa Na watanzania Milion 10 Hawana Simu aina ya Smartphone wanabaki watanzania Milion 30 Kwahyo hapo Tuna watanzania Milion 4 Tu ndo hawafuatilii huenda Kwa sababu ya Bando au Wako makaziniKatika watanzania million 60 watu 26k tu ndo wanafatilia? Ccm wabaya sana wanazuia watu wasifatilie hadi mtandaoni
Ni wakenya ndio wamejaa asilimia kubwa kuangalia kwa taarifa yakoelewa ni kwa nini watu wengi wanafuatilia kesi hii, Lissu ni next level mjuba
Punguza Kisirani Jetlomeni.....Na huo wingi ndo utasababisha aachiwe?
Unadhani wakati hakimu au jaji atakuwa anasoma maamuzi atafanya rejea ya watazamaji kwenye you tube?
Tulieni sheria ifuate mkondo wake. Hana hatia ataachiwa, anayo hatia sheria itafuata mkondo wake.
Mtasingizia sana mambo mwaka huu.Wengi wanaofuatilia hiyo kesi mitandaonu ni wakenya
Watanzania hatufiki 500
Hilo sio jukumu langu.Hapana sifuatilii kwani nna uhakika nyie mnafatilia mtakuja tu kutuhadithia