Kesi ya Lissu: Watazamaji Elfu 14 Channel ya Mahakama YouTube, Watazamaji Elfu 18 Millard Ayo YouTube. Hili ni balaa

Kesi ya Lissu: Watazamaji Elfu 14 Channel ya Mahakama YouTube, Watazamaji Elfu 18 Millard Ayo YouTube. Hili ni balaa

Na huo wingi ndo utasababisha aachiwe?
Unadhani wakati hakimu au jaji atakuwa anasoma maamuzi atafanya rejea ya watazamaji kwenye you tube?
Tulieni sheria ifuate mkondo wake. Hana hatia ataachiwa, anayo hatia sheria itafuata mkondo wake.
Pole samaki mkizi
 
Wewe kwa akili yako ya kawaida unaona Lissu amefanya uhaini?
Nimeishakujibu hili swali mapema kuwa ungeuniuliza wakati tu amekamatwa kabla ya kupelekwa mahakamani ningekujb tu vzr sana..lakn kwa sasa JIBU LA SWALI LAKO LIPO KWENYE MHIMILI WA KUTOA MAAMZI..
Mm ni muumini wa kuheshimu mamlaka na majukumu ya mihimili yote ya nchi..mimi si mropokaji, na kesi ipo mahakamani, tusubiri haki itendeke pande zote kuliko kuwa na matokeo mfukoni kama simba na yanga
 
IMG_20250602_125947.jpg
 
Back
Top Bottom