Kesi ya Lissu: Watazamaji Elfu 14 Channel ya Mahakama YouTube, Watazamaji Elfu 18 Millard Ayo YouTube. Hili ni balaa

Kesi ya Lissu: Watazamaji Elfu 14 Channel ya Mahakama YouTube, Watazamaji Elfu 18 Millard Ayo YouTube. Hili ni balaa

There is always a sheep who's ready for sacrifice.
Currently, there is no sheep or kitten which is ready to be sacrificed.
Each and every sheep/kitten is running to earn daily bread/green pasture by any means for his or her family.
 
Siku zote vibaraka wa ambao hawatambui wajibu wao kazi Yao kupiga makofi tu utawajua
 
nilijua milioni30 kumbe ni elfu 13 dah 🐒
Vikao vya sekretarieti zya CCM vinafuatiliwa na watazamaji elfu 92😁
IMG_20250602_112842.jpg
 
Punguza Kisirani Jetlomeni.....
Jetloman kuwa mpole, haki itendeke kila upande upate haki yake, kuliko kushinikiza achia fulani bila masharti..ina maana siku mwingne akikamatwa watasema kuwa funga huyo bila kujieleza..
Alaaa jetloman
 
Na huo wingi ndo utasababisha aachiwe?
Unadhani wakati hakimu au jaji atakuwa anasoma maamuzi atafanya rejea ya watazamaji kwenye you tube?
Tulieni sheria ifuate mkondo wake. Hana hatia ataachiwa, anayo hatia sheria itafuata mkondo wake.
Unachanganya mambo, hajasema hilo, tulia basi
 
Kwanini huyo jamaa amezuiwa kutumia maneno "by the way"
 
Back
Top Bottom