Kesi ya Lissu: Watazamaji Elfu 14 Channel ya Mahakama YouTube, Watazamaji Elfu 18 Millard Ayo YouTube. Hili ni balaa

Haisaidii kitu lakini inatuonesha kwamba serekali ya CCM imepoteza mvuto kwa jamii huo ndo ukweli.
chama chenye wanachama zaidi ya m13 kinawezaje kubaishwa na jamii ya watu elfu10 gentleman, surely?

huko si kujipa matumaini na kujipotosha kilofa sana gentleman?šŸ’
 
Jetloman kuwa mpole, haki itendeke kila upande upate haki yake, kuliko kushinikiza achia fulani bila masharti..ina maana siku mwingne akikamatwa watasema kuwa funga huyo bila kujieleza..
Alaaa jetloman
Kwani Mada Iliyoletwa Na Mdau Humu,,Amezungumzia Maswala Ya Haki...??
 
chama chenye wanachama zaidi ya m13 kinawezaje kubaishwa na jamii ya watu elfu10 gentleman, surely?

huko si kujipa matumaini na kujipotosha kilofa sana gentleman?šŸ’
show ya wasafi festival (diamond zuchu ndani ) ilikuwa na live views 20k kwa mwanasiasa kuwa na pull kiasi hiki ni hatari
 
Bila kupepesa upande wa mashtaka hauna hoja za msingi, labda utumike ule mhimili ulio jichimbia.
 
Wewe kwa akili yako ya kawaida unaona Lissu amefanya uhaini?
Tuisubiri mahakama ndiyo ina hayo majibu..

HAYO MASWALI UNGENIULIZA KABLA YA YA KWENDA MAHAKAMANI NINGEKUJIBU TENA VIZURI TU, LAKINI KWA SASA SIWEZI HATA KIDOGO MAANA MIMI SINA TABIA YA KUROPOKA, "HUWA NAHESHIMU SANA MIHIMILI YOTE MITATU YA NCHI"

YOTE KWA YOTE, SIWEZI KUZUNGUMZIA HATIMA AU MAAMZI YA MWENENDO WA KESI YOYOTE, SIYO YA LISU TU ILIYOPO KWENYE MHIMILI WA MAHAKAMA.
 
Na huo wingi ndo utasababisha aachiwe?
Unadhani wakati hakimu au jaji atakuwa anasoma maamuzi atafanya rejea ya watazamaji kwenye you tube?
Tulieni sheria ifuate mkondo wake. Hana hatia ataachiwa, anayo hatia sheria itafuata mkondo wake.
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Na huo wingi ndo utasababisha aachiwe?
Unadhani wakati hakimu au jaji atakuwa anasoma maamuzi atafanya rejea ya watazamaji kwenye you tube?
Tulieni sheria ifuate mkondo wake. Hana hatia ataachiwa, anayo hatia sheria itafuata mkondo wake.
Ahahahahaha! Jamaa wa Chadema ni washamba sana
 
Back
Top Bottom