KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Currently, there is no sheep or kitten which is ready to be sacrificed.There is always a sheep who's ready for sacrifice.
Wamevaa nini hawaBunge la Rango hawafiki hata watazamaji 100View attachment 3353361
Vikao vya sekretarieti zya CCM vinafuatiliwa na watazamaji elfu 92😁nilijua milioni30 kumbe ni elfu 13 dah 🐒
Kijana una utoto mwingiTundu Lissu ni mashine nyingine hadi sasaivi tu kuna Watazamaji Elfu 32 kwenye Channell 2 tu za YouTube.
View attachment 3353362View attachment 3353363
😂😂😂😂😂 Yani mazombi kabisa haya ...huyu ni Tlaatlaah na shangingi lake Lucas MwashambwaBunge la Rango hawafiki hata watazamaji 100View attachment 3353361
hiyo inasaidia nini mathalani gentleman 🐒Vikao vya sekretarieti zya CCM vinafuatiliwa na watazamaji elfu 92😁View attachment 3353408
Serious nifatilie kesi muda huu!Hilo sio jukumu langu.
Tafuta internet ya uhakika ufuatilie.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kufuatilia hawa vilaza wa darasa la 7 walioondoa CV zao online baada ya Gen Z wa Kenya kuhoji elimu zao .Vikao vya sekretarieti zya CCM vinafuatiliwa na watazamaji elfu 92😁View attachment 3353408
hiyo inasaidia kupunguza uropokaji au inasaidia nini mathalani gentleman 🐒😂😂😂😂😂 Yani mazombi kabisa haya ...huyu ni Tlaatlaah na shangingi lake Lucas Mwashambwa
Jetloman kuwa mpole, haki itendeke kila upande upate haki yake, kuliko kushinikiza achia fulani bila masharti..ina maana siku mwingne akikamatwa watasema kuwa funga huyo bila kujieleza..Punguza Kisirani Jetlomeni.....
Unachanganya mambo, hajasema hilo, tulia basiNa huo wingi ndo utasababisha aachiwe?
Unadhani wakati hakimu au jaji atakuwa anasoma maamuzi atafanya rejea ya watazamaji kwenye you tube?
Tulieni sheria ifuate mkondo wake. Hana hatia ataachiwa, anayo hatia sheria itafuata mkondo wake.
Naona wee umeamua kufatilia sakata la talaka ya mondi na zuchuWengi wanaofuatilia hiyo kesi mitandaonu ni wakenya
Watanzania hatufiki 500
Miwani za mama.Wamevaa nini hawa
sio mbayaNi wakenya ndio wamejaa asilimia kubwa kuangalia kwa taarifa yako
Nini dhana ya kufuatiliwa na watu wengi? Je ina madhara yoyote kuhusu maamzi ya mwisho ya kimahakama?Unachanganya mambo, hajasema hilo, tulia basi
Hii ni noma ahhahMiwani za mama.
Haisaidii kitu lakini inatuonesha kwamba serekali ya CCM imepoteza mvuto kwa jamii huo ndo ukweli.hiyo inasaidia nini mathalani gentleman 🐒