chama chenye wanachama zaidi ya m13 kinawezaje kubaishwa na jamii ya watu elfu10 gentleman, surely?Haisaidii kitu lakini inatuonesha kwamba serekali ya CCM imepoteza mvuto kwa jamii huo ndo ukweli.
Kwani Mada Iliyoletwa Na Mdau Humu,,Amezungumzia Maswala Ya Haki...??Jetloman kuwa mpole, haki itendeke kila upande upate haki yake, kuliko kushinikiza achia fulani bila masharti..ina maana siku mwingne akikamatwa watasema kuwa funga huyo bila kujieleza..
Alaaa jetloman
show ya wasafi festival (diamond zuchu ndani ) ilikuwa na live views 20k kwa mwanasiasa kuwa na pull kiasi hiki ni hatarichama chenye wanachama zaidi ya m13 kinawezaje kubaishwa na jamii ya watu elfu10 gentleman, surely?
huko si kujipa matumaini na kujipotosha kilofa sana gentleman?🐒
Taratibu mkuuAisee nipo hapa nasikiliza ila naelewa vitu vichache mno 🐼
Katika nchi yenye watu wazima milioni 30?Muda huu Watazamaji Elfu 15 channel ya Millard Ayo na Elfu 13 channel ya Mahakama
Mimi nafuatilia tu ila sina elimu ya sheria ila naona mawakili wa timu Lissu kama wanaupiga mwingi😃Taratibu mkuu
Wewe kwa akili yako ya kawaida unaona Lissu amefanya uhaini?Hana hatia ataachiwa, anayo hatia sheria itafuata mkondo wake.
Tuisubiri mahakama ndiyo ina hayo majibu..Wewe kwa akili yako ya kawaida unaona Lissu amefanya uhaini?
Tuisubiri mahakama ndiyo ina hayo majibu..Wewe kwa akili yako ya kawaida unaona Lissu amefanya uhaini?
Hiyo channel ya mahakama inapatikanaje wajameni au wapi kwingine nawezapata mwenendo mzima wa kesi. Hadi mda huu??Muda huu Watazamaji Elfu 15 channel ya Millard Ayo na Elfu 13 channel ya Mahakama
Na huo wingi ndo utasababisha aachiwe?
Unadhani wakati hakimu au jaji atakuwa anasoma maamuzi atafanya rejea ya watazamaji kwenye you tube?
Tulieni sheria ifuate mkondo wake. Hana hatia ataachiwa, anayo hatia sheria itafuata mkondo wake.
Angalia channel ya Bunge inasoma ngapi?nilijua milioni30 kumbe ni elfu 13 dah 🐒
ITV nao wanarusha mubashara, huko watu wako kibao.Sasahivi inasoma Watazamaji elfu 14 channel ya Millard Ayo tu na Elfu 12 Channel ya Mahakama
Ahahahahaha! Jamaa wa Chadema ni washamba sanaNa huo wingi ndo utasababisha aachiwe?
Unadhani wakati hakimu au jaji atakuwa anasoma maamuzi atafanya rejea ya watazamaji kwenye you tube?
Tulieni sheria ifuate mkondo wake. Hana hatia ataachiwa, anayo hatia sheria itafuata mkondo wake.