Kesi ya lisu kwann mashahidi wote ni wanaume na wengi ni mapolisi??

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
17,499
Reaction score
25,295
Wanajamvi habar kwenu?
Nimetafakari kwa mujibu wa ufuatiliaji wangu dhidi ya kesi hii ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama Cha demokrasia na maendeleo chadema. Nilichogundua wote waliokwisha kutoa ushahidi wote ni mapolisi na bodaboda na bajaji?
Pia hakuna mwanamke yeyote mpaka Sasa?
Hili limekaaje? Kwann wawe mapolisi peke Yao? Mbona hakuna walimu, wakulima, walimu na au manesi.
Uongo Gani wako toto huu??
 
Nani mwingine mwenye udhubutu wa kwenda kushuhuduia uwongo? Tena mbele ya mahakama?
 
Kuwa mashahidi ni polisi, bodaboda au bajaji hakufanyi ushahidi uwe wa uongo moja kwa moja. Kinachopaswa kuangaliwa ni ushahidi walioutoa, uhalali wake, na kama unaunga mkono mashtaka. Pia kutokuwepo kwa mwanamke, mwalimu, mkulima au nesi hakuthibitishi kesi ni ya uongo. Mahakama inapaswa kuamua kwa ushahidi uliowasilishwa, si kwa aina ya kazi au jinsia ya shahidi.
 
Kwamba walioshihudia lisu akipanga uhaini ni mapolisi tu? Tena wa central? How
 
CCM wameshikwa MBUPU hadi wameamua kutafuta Maiti akina Mahamba waje kuwasaidia
 
Kama wanafikiri Jumatatu mbali, wanajidanganya tu. Ni siku mbili kutoka leo.
 
Wameamua kuifanya hiyo kesi kuwa ya jinsia moja ili kurahisisha mawasiliano na kulindana.
 
Back
Top Bottom