Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Nani mwingine mwenye udhubutu wa kwenda kushuhuduia uwongo? Tena mbele ya mahakama?Wanajamvi habar kwenu?
Nimetafakari kwa mujibu wa ufuatiliaji wangu dhidi ya kesi hii ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama Cha demokrasia na maendeleo chadema. Nilichogundua wote waliokwisha kutoa ushahidi wote ni mapolisi na bodaboda na bajaji?
Pia hakuna mwanamke yeyote mpaka Sasa?
Hili limekaaje? Kwann wawe mapolisi peke Yao? Mbona hakuna walimu, wakulima, walimu na au manesi.
Uongo Gani wako toto huu??
Kwamba walioshihudia lisu akipanga uhaini ni mapolisi tu? Tena wa central? HowKuwa mashahidi ni polisi, bodaboda au bajaji hakufanyi ushahidi uwe wa uongo moja kwa moja. Kinachopaswa kuangaliwa ni ushahidi walioutoa, uhalali wake, na kama unaunga mkono mashtaka. Pia kutokuwepo kwa mwanamke, mwalimu, mkulima au nesi hakuthibitishi kesi ni ya uongo. Mahakama inapaswa kuamua kwa ushahidi uliowasilishwa, si kwa aina ya kazi au jinsia ya shahidi.