Eleza ni kwa namna gani hailipi mapatoKesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally
Serikali inachukizwa sana na kitendo cha kujivunia mapato kinyume na Sheria
Biashara isiyokuwa na Leseni pamoja na biashara isiyolipa kodi
Makosa haya yanawezakumwingiza hatiani
Kesi yake ingekuwa nyepesi ikiwa App yake haikuwa ikivuna mapato
Huwa Serikali inatizama uraia wa mmiliki wa biashara. Kama yeye siyo mtanzania basi hakuruhusiwa kufanya biashara Tanzania, alitakiwa avune hizo fedha nchi nyingine, otherwise alikuwa na Leseni ya KimataifaKwani app yake ilianzishwa kama app ya kitanzania au ya kigeni?..na Kila MTanzania aliekua akilipia hiyo app alikua akikatwa makato au Kodi kupitia mitandao ya Simu .hoja yako ni irrelevant kwa upande wa app , labda waseme kwa njia nyingine
Kama ni Mmarekani basi haruhusiwi kuvuna pesa Tanzania illegally ni sawa na mwizi, Sheria haziruhusuMange sio Mtanzania
Hawajibiki kulipa kodi Tanzania yeye analipa Kodi USA
Kwaiyo kwenye hiyo app yake wakaitumia raia wa Kenya, Malawi, Canada, German, Libya, Oman, Netherlands uko kote atalipia kodi
Vp ya mama dully kama akifikishwa ICC?Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally
Serikali inachukizwa sana na kitendo cha kujivunia mapato kinyume na Sheria
Biashara isiyokuwa na Leseni pamoja na biashara isiyolipa kodi
Makosa haya yanawezakumwingiza hatiani
Kesi yake ingekuwa nyepesi ikiwa App yake haikuwa ikivuna mapato
Wao wasijifanye Watakatifu sana bado hatujasahau biashara ya utumwa enzi za UkoloniVp ya mama dully kama akifikishwa ICC?
Kwani App yake inahusika nini na Tanzania? imesajiliwa Tanzania?Hakuwa na Leseni ya biashara ya kumruhusu kuvuna mapato katika App yake
Alivunaje pesa pesa TanzaniaKama ni Mmarekani basi haruhusiwi kuvuna pesa Tanzania illegally ni sawa na mwizi, Sheria haziruhusu
Kama alitaka pesa za Tanzania basi alitakiwa kulipa kodi Tanzania
Hawezi kuvuna pesa Tanzania huku Serikali ikibaki mikono mitupu
Alikua na App ya umbea ikawa inamuingizia fedhaKwani App yake inahusika nini na Tanzania? imesajiliwa Tanzania?
App ya Mange haipo Tanzania ndio maana wanao itumia wanalazimika kuwasha na VPN sasa hapo una shitaki nini?Kama ni Mmarekani basi haruhusiwi kuvuna pesa Tanzania illegally ni sawa na mwizi, Sheria haziruhusu
Kama alitaka pesa za Tanzania basi alitakiwa kulipa kodi Tanzania
Hawezi kuvuna pesa Tanzania huku Serikali ikibaki mikono mitupu
Mbona jibu haliendani na swali??Wao wasijifanye Watakatifu sana bado hatujasahau biashara ya utumwa enzi za Ukoloni
Hata Afrika tunataka haki pia watulipe jasho letu walilochukua kipindi cha Ukoloni
Mataifa yao yamejengwa kwa jasho la damu la babu na bibi zetu enzi za biashara ya utumwa
Wanachokitaka na sisi tunakitaka pia kwahiyo tugawane hasara
Yeye ndio anatakiwa awashitaki Tanzania kwa kutumia app yake kinyemela tumia akiliAlikua na App ya umbea ikawa inamuingizia fedha
Kwahiyo akawa anakula pesa za Serikali ya Tanzania pasipo kulipa kodi
Serikali haiwezi kukubali yeye ale pesa wakati halipi kodi huwa wanachukizwa sana na watu wa aina hiyo
Na hai-operate Tanzania baada ya kufungwa na TCRA...Alivunaje pesa pesa Tanzania
App
App yake hajaisajili Tanzania atalipaje Kodi na yeye hafanyi biashara yoyote Tanzania
Yeye app yake ipo kuhabarisha tu