Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally

Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally

Kama ni Mmarekani basi haruhusiwi kuvuna pesa Tanzania illegally ni sawa na mwizi, Sheria haziruhusu
Kama alitaka pesa za Tanzania basi alitakiwa kulipa kodi Tanzania
Hawezi kuvuna pesa Tanzania huku Serikali ikibaki mikono mitupu
Kwa taarifa yako Tanzania haina Sheria ya kutoza Kodi/Mapato application inayokuwepo Playstore au Appstore.

Kuna mazungumzo yameanza mwaka huu kati ya BoT na Google. Fuatilia taarifa hii kwanza.

Kwa hiyo nimalizie kwa kusema hakuwa wakili mwenye akili timamu atajitolea kuunda kesi ya maana ya dhidi ya Mange.

Na kitu kingine kwenye kesi za Aina hii lazima Tanzania wafanye uchunguzi na wawe ushahidi wa hali ya juu kabisa dhidi ya Mange kuwa amehusika na Money laundering, also kwenye mataifa ya nje suala la kufungua kesi mahakamani ni hadi iwe na "Public interest"
 
Wewe Tahira wa CCM

Haya ni maelezo ya BoT, hata mimi naweza kuwa wakili wa Mange kwa hoja yako

"The Bank of Tanzania (BoT) is in the process of developing regulations to govern digital financial platforms, aiming to strengthen oversight amid rising public complaints.

BoT Senior Legal Officer, Ramadhani Myonga, told participants at an economic and finance media seminar yesterday that while no formal regulations currently exist, the central bank has engaged with Google to ensure that digital financial platforms operating in Tanzania obtain a letter of no objection from the BoT before launching their services.

“We do not regulate Google, which operates under a separate mandate, and most digital financial platforms begin operating through arrangements with Google,” he explained.

He added that the engagement with Google is informal and not legally binding, as the company is independent and has no legal obligation under Tanzanian law. “The first step we took was to send an official letter to Google instructing them not to allow digital financial platforms to operate in Tanzania without authorisation from the BoT,” he said.

Myonga said that all licensed loan providers in Tanzania are listed on the BoT website.

Despite widespread public complaints about unregulated digital financial services, Myonga noted that the BoT currently lacks jurisdiction over unregistered entities. Misconduct by such platforms is handled by national law enforcement agencies. “When complaints arise, we advise the relevant authorities that the entity is unregulated and should be dealt with according to the law,” he said."
 
Hahaha huyo Johari huyo ataingia cha kike kimoja kibaya sana hiyo kesi ina mapungufu ya wazi wazi na Marikani wanaweza ipokea kisha ukapigwa za uso na kubadilishiwa kibao ,naamini kabisa huu ni mtego
 
Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally

Serikali inachukizwa sana na kitendo cha kujivunia mapato kinyume na Sheria

Biashara isiyokuwa na Leseni pamoja na biashara isiyolipa kodi

Makosa haya yanawezakumwingiza hatiani

Kesi yake ingekuwa nyepesi ikiwa App yake haikuwa ikivuna mapato
Malipo ya kufanya ujinga yanatoa utu wa mtu
 
Huu utawala unachukiwa na watz (ushahidi raia walisusa kujitokeza kupiga kura kwa samuya) kwasabb nyiingi...kwa akili zao ndogo wakabuni kesi, kuteka nk nk ndio itaufanya uogopwe na hatimaye kupendwa!

Yaani akili za panzi kuanzia mama na genge saidizi lote
 
Sheria hizo mmetunga wenyewe mkasema hamtaki wezi mnataka Wananchi walipe kodi leo unakana tena Sheria zako mwenyewe
Sheria zimetungwa na wanasiasa. Sheria tunazitaka sisi tulizidai mo29 tukapigwa risasi
 
We jamaa mwehu nini atalipaje kodi ilihali hana biashara yoyote hapa Tz na wala haishi Tz hata hao wanaolipia app wao ndo wakushitakiwa maana APP haitumiki hapa Tz ila wao wanaifuata hukohuko kwa VPN sasa hapo mange kosa lake ni lipi au unataka kusema hizo app zote za kulipia zinalipa kodi hapa bongo.
Unawezakuthibitisha uraia wake ili nione namna ya kujibu swali lako
 
Wao serikali walikuwa wapi na hakuna wengine waliovuna mapato kupitia app zao kama mange?kwanini wasiwajibishwe waliomuacha avune mapato bila kulipa kodi?
Huu ndio wakati wake, wanasema siku za mwizi ni 40
 
Kwa taarifa yako Tanzania haina Sheria ya kutoza Kodi/Mapato application inayokuwepo Playstore au Appstore.

Kuna mazungumzo yameanza mwaka huu kati ya BoT na Google. Fuatilia taarifa hii kwanza.

Kwa hiyo nimalizie kwa kusema hakuwa wakili mwenye akili timamu atajitolea kuunda kesi ya maana ya dhidi ya Mange.

Na kitu kingine kwenye kesi za Aina hii lazima Tanzania wafanye uchunguzi na wawe ushahidi wa hali ya juu kabisa dhidi ya Mange kuwa amehusika na Money laundering, also kwenye mataifa ya nje suala la kufungua kesi mahakamani ni hadi iwe na "Public interest"
Stores huwa zinawataka developers waambatanishe TIN zao ili VAT ikatwe lakini vipi kuhusu Leseni ya Biashara? Kuendesha shughuli yeyote kunahitaji leseni
 
Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally

Serikali inachukizwa sana na kitendo cha kujivunia mapato kinyume na Sheria

Biashara isiyokuwa na Leseni pamoja na biashara isiyolipa kodi

Makosa haya yanawezakumwingiza hatiani

Kesi yake ingekuwa nyepesi ikiwa App yake haikuwa ikivuna mapato

..serikali ikiendelea kumuandama mtampa Mange Kimambi vigezo vya kuwa mkimbizi wa kisiasa, na baadae raia wa marekani.

..pia matukio ya ukatili wa vyombo vya dola, na mahakama kuingiliwa ktk maamuzi yake, yanaweza kuwafanya Wamarekani wasitoe ushirikiano kwa serikali ya Tanzania kumpata Mange Kimambi.
 
Lesseni ya kutoka Nchi Gani boss?
Ya nchi yake, wanadai kwasasa ni Mmarekani lakini hatuoni leseni ya Marekani. Kama ni mtanzania basi hawakuona ya Tanzania ndiyo sababu ya kumfungulia kesi ya uhujumu uchumi
 
Kama ni Mmarekani basi haruhusiwi kuvuna pesa Tanzania illegally ni sawa na mwizi, Sheria haziruhusu
Kama alitaka pesa za Tanzania basi alitakiwa kulipa kodi Tanzania
Hawezi kuvuna pesa Tanzania huku Serikali ikibaki mikono mitupu
Sasa kwanini Kesi siyo ya madai bali ni ya Kiuchumi/Utakatishaji fedha??

Pili kwanini hayo yote yatokee sasa baada ya wahusika kutumia mbinu mbali mbali kumdhoofisha au hata kumnaliza kushindikana??
 
Hakuwa na Leseni ya biashara ya kumruhusu kuvuna mapato katika App yake
Kama ni hivyo hilo ni suala la kodi halihitaji kwenda mahakamani!! Hata hivyo tangu 2022 walikuwa wapi na kitu gani kimewastusha kumfungulia mashtaka ya kubumba wakati huu?
 
Ya nchi yake, wanadai kwasasa ni Mmarekani lakini hatuoni leseni ya Marekani. Kama ni mtanzania basi hawakuona ya Tanzania ndiyo sababu ya kumfungulia kesi ya uhujumu uchumi
Toka lini mkakusanya kodi kwa niaba ya serikali ya Marekani?
 
Sasa kwanini Kesi siyo ya madai bali ni ya Kiuchumi/Utakatishaji fedha??

Pili kwanini hayo yote yatokee sasa baada ya wahusika kutumia mbinu mbali mbali kumdhoofisha au hata kumnaliza kushindikana??
Pengine waligundua na makosa mengine ya utakatishaji fedha ambayo hatukuwa tukiyafahamu kwasababu binadamu wana siri, huwezi kujua matendo ya watu
 
Back
Top Bottom