Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally

Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally

App ya Mange haipo Tanzania ndio maana wanao itumia wanalazimika kuwasha na VPN sasa hapo una shitaki nini?
Kosa lake ni App kuvuna pesa Tanzania hata kama sio Mtanzania
Serikali haichukozwi na upatikanaji wa App yake bali kitendo cha kuvuna pesa kupitia App hiyo, fedha ambayo halipi kodi
 
Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally

Serikali inachukizwa sana na kitendo cha kujivunia mapato kinyume na Sheria

Biashara isiyokuwa na Leseni pamoja na biashara isiyolipa kodi

Makosa haya yanawezakumwingiza hatiani

Kesi yake ingekuwa nyepesi ikiwa App yake haikuwa ikivuna mapato

Vijana mnaendaga shule kusomea ujinga na upumbavu? Ndo maana sisiemu inawafaidi sana
 
Vijana mnaendaga shule kusomea ujinga na upumbavu? Ndo maana sisiemu inawafaidi sana
Sheria hizo mmetunga wenyewe mkasema hamtaki wezi mnataka Wananchi walipe kodi leo unakana tena Sheria zako mwenyewe
 
Mmmhh..

Huwenda, maana mange siku moja niliona video yake akiogopa na kulalamika
Fedha alizovuna Tanzania angekuwa alilipa kodi wala wasingehangaika nae
 
Utoto tu,unakimbilia kufungua kesi halafu unasema upelelezi haujakamilika!!

Ulikuwa unafungua ya nini sasa? Si ungekusanya ushahidi wote kwanza?

Tinder,Badoo,Stackry na Apps zingine nyingi zinalipaje kodi bongo?
 
Wewe ni Pakome yupi? Pakome Zuzu ama Pakome Zazwa?
Kuna app nyingi sana zipo nje ya Tanzania na watanzaia wanazilipia.
Wao wana Leseni za Kimataifa kama sivyo basi Serikali haijaamua kupiga msako
Au ipo kimya kwasababu inalipwa kodi ndiyo maana haihangaiki nao
Ila kama haipati kodi lazima ije hewani
 
Utoto tu,unakimbilia kufungua kesi halafu unasema upelelezi haujakamilika!!

Ulikuwa unafungua ya nini sasa? Si ungekusanya ushahidi wote kwanza?

Tinder,Badoo,Stackry na Apps zingine nyingi zinalipaje kodi bongo?
Kuna utaratibu wa Stores kukata kodi moja kwa moja, Mange labda alikwepa kukatwa. Lakini asili yake inachangia, angetakiwa kuwa na Leseni
 
Sheria hizo mmetunga wenyewe mkasema hamtaki wezi mnataka Wananchi walipe kodi leo unakana tena Sheria zako mwenyewe
We jamaa mwehu nini atalipaje kodi ilihali hana biashara yoyote hapa Tz na wala haishi Tz hata hao wanaolipia app wao ndo wakushitakiwa maana APP haitumiki hapa Tz ila wao wanaifuata hukohuko kwa VPN sasa hapo mange kosa lake ni lipi au unataka kusema hizo app zote za kulipia zinalipa kodi hapa bongo.
 
Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally

Serikali inachukizwa sana na kitendo cha kujivunia mapato kinyume na Sheria

Biashara isiyokuwa na Leseni pamoja na biashara isiyolipa kodi

Makosa haya yanawezakumwingiza hatiani

Kesi yake ingekuwa nyepesi ikiwa App yake haikuwa ikivuna mapato
Wao serikali walikuwa wapi na hakuna wengine waliovuna mapato kupitia app zao kama mange?kwanini wasiwajibishwe waliomuacha avune mapato bila kulipa kodi?
 
Back
Top Bottom