Kosa lake ni App kuvuna pesa Tanzania hata kama sio MtanzaniaApp ya Mange haipo Tanzania ndio maana wanao itumia wanalazimika kuwasha na VPN sasa hapo una shitaki nini?
Tangu lini hao watu wakawa na akiliMbona jibu haliendani na swali??
Kweli wewe una taaluma ya sheria?
Au wewe ni Nassoro Katuga Mzee wa 'symphasy'?
Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally
Serikali inachukizwa sana na kitendo cha kujivunia mapato kinyume na Sheria
Biashara isiyokuwa na Leseni pamoja na biashara isiyolipa kodi
Makosa haya yanawezakumwingiza hatiani
Kesi yake ingekuwa nyepesi ikiwa App yake haikuwa ikivuna mapato
Una ushindi gani amevuna pesa? App yake haitumiki Tanzania na TCRA waliipiga pini utamshitaki kwa lipi?Kosa lake ni App kuvuna pesa Tanzania hata kama sio Mtanzania
Serikali haichukozwi na upatikanaji wa App yake bali kitendo cha kuvuna pesa kupitia App hiyo, fedha ambayo halipi kodi
Huwa Serikali inatizama asili ya mmiliki wa biashara. Kama yeye siyo mtanzania basi hakuruhusiwa kufanya biashara Tanzania
Wao wana Leseni za Kimataifa kama sivyo basi Serikali haijaamua kupiga msakoWewe ni Pakome yupi? Pakome Zuzu ama Pakome Zazwa?
Kuna app nyingi sana zipo nje ya Tanzania na watanzaia wanazilipia.
Kuna utaratibu wa Stores kukata kodi moja kwa moja, Mange labda alikwepa kukatwa. Lakini asili yake inachangia, angetakiwa kuwa na LeseniUtoto tu,unakimbilia kufungua kesi halafu unasema upelelezi haujakamilika!!
Ulikuwa unafungua ya nini sasa? Si ungekusanya ushahidi wote kwanza?
Tinder,Badoo,Stackry na Apps zingine nyingi zinalipaje kodi bongo?
Sheria hizo mmetunga wenyewe mkasema hamtaki wezi mnataka Wananchi walipe kodi leo unakana tena Sheria zako mwenyewe
We jamaa mwehu nini atalipaje kodi ilihali hana biashara yoyote hapa Tz na wala haishi Tz hata hao wanaolipia app wao ndo wakushitakiwa maana APP haitumiki hapa Tz ila wao wanaifuata hukohuko kwa VPN sasa hapo mange kosa lake ni lipi au unataka kusema hizo app zote za kulipia zinalipa kodi hapa bongo.Sheria hizo mmetunga wenyewe mkasema hamtaki wezi mnataka Wananchi walipe kodi leo unakana tena Sheria zako mwenyewe
Wao serikali walikuwa wapi na hakuna wengine waliovuna mapato kupitia app zao kama mange?kwanini wasiwajibishwe waliomuacha avune mapato bila kulipa kodi?Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally
Serikali inachukizwa sana na kitendo cha kujivunia mapato kinyume na Sheria
Biashara isiyokuwa na Leseni pamoja na biashara isiyolipa kodi
Makosa haya yanawezakumwingiza hatiani
Kesi yake ingekuwa nyepesi ikiwa App yake haikuwa ikivuna mapato