MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Kwa taarifa yako Tanzania haina Sheria ya kutoza Kodi/Mapato application inayokuwepo Playstore au Appstore.Kama ni Mmarekani basi haruhusiwi kuvuna pesa Tanzania illegally ni sawa na mwizi, Sheria haziruhusu
Kama alitaka pesa za Tanzania basi alitakiwa kulipa kodi Tanzania
Hawezi kuvuna pesa Tanzania huku Serikali ikibaki mikono mitupu
Malipo ya kufanya ujinga yanatoa utu wa mtuKesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally
Serikali inachukizwa sana na kitendo cha kujivunia mapato kinyume na Sheria
Biashara isiyokuwa na Leseni pamoja na biashara isiyolipa kodi
Makosa haya yanawezakumwingiza hatiani
Kesi yake ingekuwa nyepesi ikiwa App yake haikuwa ikivuna mapato
Hakuna anachokua huyo...Eleza ni kwa namna gani hailipi mapato
Bush lawyers tusogee Karibu.App yake haikuwa ikivuna mapato
Sheria zimetungwa na wanasiasa. Sheria tunazitaka sisi tulizidai mo29 tukapigwa risasiSheria hizo mmetunga wenyewe mkasema hamtaki wezi mnataka Wananchi walipe kodi leo unakana tena Sheria zako mwenyewe
Kuitetea CCM na maamuzi unahitajika ujizime data kichwaniVijana mnaendaga shule kusomea ujinga na upumbavu? Ndo maana sisiemu inawafaidi sana
Unawezakuthibitisha uraia wake ili nione namna ya kujibu swali lakoWe jamaa mwehu nini atalipaje kodi ilihali hana biashara yoyote hapa Tz na wala haishi Tz hata hao wanaolipia app wao ndo wakushitakiwa maana APP haitumiki hapa Tz ila wao wanaifuata hukohuko kwa VPN sasa hapo mange kosa lake ni lipi au unataka kusema hizo app zote za kulipia zinalipa kodi hapa bongo.
Stores huwa zinawataka developers waambatanishe TIN zao ili VAT ikatwe lakini vipi kuhusu Leseni ya Biashara? Kuendesha shughuli yeyote kunahitaji leseniKwa taarifa yako Tanzania haina Sheria ya kutoza Kodi/Mapato application inayokuwepo Playstore au Appstore.
Kuna mazungumzo yameanza mwaka huu kati ya BoT na Google. Fuatilia taarifa hii kwanza.
Kwa hiyo nimalizie kwa kusema hakuwa wakili mwenye akili timamu atajitolea kuunda kesi ya maana ya dhidi ya Mange.
Na kitu kingine kwenye kesi za Aina hii lazima Tanzania wafanye uchunguzi na wawe ushahidi wa hali ya juu kabisa dhidi ya Mange kuwa amehusika na Money laundering, also kwenye mataifa ya nje suala la kufungua kesi mahakamani ni hadi iwe na "Public interest"
Hakuwa na Leseni ya biashara ya kumruhusu kuvuna mapato katika App yake
Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally
Serikali inachukizwa sana na kitendo cha kujivunia mapato kinyume na Sheria
Biashara isiyokuwa na Leseni pamoja na biashara isiyolipa kodi
Makosa haya yanawezakumwingiza hatiani
Kesi yake ingekuwa nyepesi ikiwa App yake haikuwa ikivuna mapato
Sasa kwanini Kesi siyo ya madai bali ni ya Kiuchumi/Utakatishaji fedha??Kama ni Mmarekani basi haruhusiwi kuvuna pesa Tanzania illegally ni sawa na mwizi, Sheria haziruhusu
Kama alitaka pesa za Tanzania basi alitakiwa kulipa kodi Tanzania
Hawezi kuvuna pesa Tanzania huku Serikali ikibaki mikono mitupu
Kama ni hivyo hilo ni suala la kodi halihitaji kwenda mahakamani!! Hata hivyo tangu 2022 walikuwa wapi na kitu gani kimewastusha kumfungulia mashtaka ya kubumba wakati huu?Hakuwa na Leseni ya biashara ya kumruhusu kuvuna mapato katika App yake
Toka lini mkakusanya kodi kwa niaba ya serikali ya Marekani?Ya nchi yake, wanadai kwasasa ni Mmarekani lakini hatuoni leseni ya Marekani. Kama ni mtanzania basi hawakuona ya Tanzania ndiyo sababu ya kumfungulia kesi ya uhujumu uchumi
Pengine waligundua na makosa mengine ya utakatishaji fedha ambayo hatukuwa tukiyafahamu kwasababu binadamu wana siri, huwezi kujua matendo ya watuSasa kwanini Kesi siyo ya madai bali ni ya Kiuchumi/Utakatishaji fedha??
Pili kwanini hayo yote yatokee sasa baada ya wahusika kutumia mbinu mbali mbali kumdhoofisha au hata kumnaliza kushindikana??