Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally

Tatizo jingine ni pale META ilipomfungia account, kisheria inadhihirisha ni kiasi gani ni mkosefu, kwasababu META wanatumia Wanasheria wakubwa sana duniani kufanya maamuzi
Kwa kifupi ni kwamba Sheria za Umoja wa Mataifa za Mitandao ya Kijamii zimemtapika
Sheria hizi ndizo zinazotumika kuadhibu watu Mahakamani
 
Hiyo app ilifunguliwa marekani ama Tanzania? Ipo Tanzania tuu, SI ipo world wide? Mange kama alilipa Kodi marekani Wala hatapatwa na lolote. Sisemi kwa ubaya kwamba naichukia nchi yangu, bali nawaza tu hivi kwamba marekani haiezi mleta mlipa Kodi wake hapa
 
Kama ni hivyo hilo ni suala la kodi halihitaji kwenda mahakamani!! Hata hivyo tangu 2022 walikuwa wapi na kitu gani kimewastusha kumfungulia mashtaka ya kubumba wakati huu?
Kesi za kodo ni hatari kwasababu kuna kukadiriwa kodi kubwa isiyolipika kama fidia ya hasara aliyoingizia Serikali. Sio kesei nyepesi ni ngumu sana
 
Badala ya kuwashitaki wanaovuna rasilimali zetu kifisadi amashitakiwa anayetaka kuona ulinzi wa rasilimali zetu unaimarishwa?Hakika mchawi wa walio na akili kama zako wate walisha kufa!
 
Kama ni hivyo Tuonyeshe Facebook na X zimesajiliwa wapi Tanzania na zinalipa kodi ya kiasi gani kwa serikali ya Tanzania..?
 
Hapa pona yake labda fedha alizovuna Tanzania Serikali iwe ilifaidi pia, lakini kama haijafaidi watamkana kama Pilato kwa madai ya kula pesa zao kiwizi pasipo kulipa ya Kaizari
Au alitakiwa asipokee fedha za Watanzania katika App yake ikiwa hakuwa akilipa kodi ya Tanzania
 
Kesi za kodo ni hatari kwasababu kuna kukadiriwa kodi kubwa isiyolipika kama fidia ya hasara aliyoingizia Serikali. Sio kesei nyepesi ni ngumu sana
Genge la Samia walioianzisha ndio wanaifanya kuwa ngumu !!!
 
Kama ni hivyo Tuonyeshe Facebook na X zimesajiliwa wapi Tanzania na zinalipa kodi ya kiasi gani kwa serikali ya Tanzania..?
META na XCorp ni za Marekani zenye leseni ya Kimataifa inayo operate dunia nzima na huwa wanalipa kodi kila nchi wanayokusanya mapato
 
Kwani Mange ni raia wa Tanzania?
 
Genge la Samia walioianzisha ndio wanaifanya kuwa ngumu !!!
Ili apone itabidi akadiriwe kodi aliyohujumu Serikali ili waachane nae kwasababu wanachodai ni kodi yao waliyohujumiwa sio kumfunga
 
Kama Serikali walipata mapato yao wakati akivuna fedha za Tanzania hawana tatizo naye lakini kama hawakulipwa kodi ni kazi nyingine
 
META na XCorp ni za Marekani zenye leseni ya Kimataifa inayo operate dunia nzima na huwa wanalipa kodi kila nchi wanayokusanya mapato
Haya maelezo yako yangeambatana na evidence
 
Haya maelezo yako yangeambatana na evidence
Upo sahihi kuuliza hivyo, wasingethubutu kuendesha mitandao yao pasipo leseni kwasababu wanafahamu adhabu zake, Serikali ikihitaji itaoneshwa
 
We jamaa ni mweupe kichwani asili ya wapi una maana rostam anatakiwa akalipe Kodi Oman? Ye na bakressa kisa ni asili yao
 
We jamaa ni mweupe kichwani asili ya wapi una maana rostam anatakiwa akalipe Kodi Oman? Ye na bakressa kisa ni asili yao
Asili kwa maana uraia, kwa swali lako mtu anatakiwa kulipa kodi popote pale anapovuna mapato
Kwahiyo kama anavuna mapato Oman anatakiwa alipe kodi yao lakini kama havuni malato
We jamaa ni mweupe kichwani asili ya wapi una maana rostam anatakiwa akalipe Kodi Oman? Ye na bakressa kisa ni asili yao
Asili kwa maana uraia, kwa swali lako mtu anatakiwa kulipa kodi popote pale anapovuna mapato
Kwahiyo kama anavuna mapato Oman anatakiwa alipe kodi yao lakini kama havuni mapato hakuna ulazima
 
Na hai-operate Tanzania baada ya kufungwa na TCRA...
Hii ndiyo hatari zaidi, kama alifungiwa hakutakiwa kupokea fedha kutoka kwa Watumiaji wa Tanzania
Hii ndipo mbaya zaidi
 
Hii ndiyo hatari zaidi, kama alifungiwa hakutakiwa kupokea fedha kutoka kwa Watumiaji wa Tanzania
Hii ndipo mbaya zaidi
Kila mtu anayo haki ya kutuma na kupokea pesa kutoka popote pale kwa viwango vilivyowekwa na serikali husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…