Kwa issue yake alitakiwa kuwa na Leseni piaKila mtu anayo haki ya kutuma na kupokea pesa kutoka popote pale kwa viwango vilivyowekwa na serikali husika
Wamekurupuka big timeKwa issue yake alitakiwa kuwa na Leseni pia
Serikali inaweza kuchukua kodi lakini kama mfanyabiashara hana Leseni ikamwishtaki
hao ndio watu ccm inawategemea ,,asee mbogamboga kazi wanayoMbona jibu haliendani na swali??
Kweli wewe una taaluma ya sheria?
Au wewe ni Nassoro Katuga Mzee wa 'symphasy'?
🤣🤣🤣ila pakome unajizima data ww !!!yaan wezi wa kura, mafisadi mikataba ya kishenzi hawachukizwi nayo ila ka app ka mange ndo kanawachukiza sana ??.. Hebu tuache nyie ndo mnatupandisha hasira sana yaan ww ukawa karibu yangu ukatoa huu uharo nakutandika kelbu moja matata ukafie mbali hukoAlikua na App ya umbea ikawa inamuingizia fedha
Kwahiyo akawa anakula pesa za Serikali ya Tanzania pasipo kulipa kodi
Serikali haiwezi kukubali yeye ale pesa wakati halipi kodi huwa wanachukizwa sana na watu wa aina hiyo
Mange ni mtanzania mwenye green card. App ya Mange ipo worldwide na hajaifungulia tanzania. Zipo app nyingi sana za nje tunaingiaga ikiwamo za porn. Wale huwa hawalipi Kodi Tanzania. Hata Instagram TikTok wanazo subscription ambapo mtu unaeza lipwa. Mi nikiwa nje hua naingia JF kama KAWAIDA, haimaanishi melo atakuwa anatakatisha fedha nikiingia humu na nikatuzama tangazo la biashara....ukiwa Tanzania Kuna SHERIA za kufungua app na YouTube. Kuna watanzania wengi wenye YouTube account walizifingulia nje kama yule EBM hawez kamatwa sababu Ile chanel sio ya hapa..kama Ilivyo kwa Mange. Kama mange alilipa Kodi marekani alipo hawezi patwa na mkasa wowote na SHERIA itaangaliwa ya marekani inayohusiana na vitu kama vya mange kama alivunja SHERIA.Kama ni Mmarekani basi haruhusiwi kuvuna pesa Tanzania illegally ni sawa na mwizi, Sheria haziruhusu
Kama alitaka pesa za Tanzania basi alitakiwa kulipa kodi Tanzania
Hawezi kuvuna pesa Tanzania huku Serikali ikibaki mikono mitupu
Nimetizama pande zote mbilihao ndio watu ccm inawategemea ,,asee mbogamboga kazi wanayo
Upo sahihi, hapa kuna maana panaMange ni mtanzania mwenye green card. App ya Mange ipo worldwide na hajaifungulia tanzania. Zipo app nyingi sana za nje tunaingiaga ikiwamo za porn. Wale huwa hawalipi Kodi Tanzania. Hata Instagram TikTok wanazo subscription ambapo mtu unaeza lipwa. Mi nikiwa nje hua naingia JF kama KAWAIDA, haimaanishi melo atakuwa anatakatisha fedha nikiingia humu na nikatuzama tangazo la biashara....ukiwa Tanzania Kuna SHERIA za kufungua app na YouTube. Kuna watanzania wengi wenye YouTube account walizifingulia nje kama yule EBM hawez kamatwa sababu Ile chanel sio ya hapa..kama Ilivyo kwa Mange. Kama mange alilipa Kodi marekani alipo hawezi patwa na mkasa wowote na SHERIA itaangaliwa ya marekani inayohusiana na vitu kama vya mange kama alivunja SHERIA.
Kama app haihitajiki nchini hua inafunguwa kama ,Ile za porn, hata ya Mange haipatkan nchini isispokuwa kwa VPN..Sasa serikali ikamate wananchi wake wanaitumia von kuingia kwenye app ya Mange, MAANA app haipatikani tanzania
Hao wazungu unawadai fidia hapa jamii forum?Nimetizama pande zote mbili
Wazungu tunawadai jasho la babu zetu enzi za Ukoloni biashara ya utumwa bado tunawadai fidia na hawajatulipa mpaka sasa
Kwahiyo waanze kwanza kulipa ndipo tuendelee na mengine
Upuuzi mtupu,mange kafungua APP marekani sio Tz,kama ni kushitakiwa anapaswa kushitakiwa na US sio Tz,ni sawa na mwenyeji wa Tanga akauze gongo shinyanga halafu polisi mkoa Tanga iiombe polisi shinyanga imrudishe mtuhumiwa Tanga ajibu tuhuma za kuuza gongò akiwa shinyanga ,hii itakua ni kichekeshoKesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally
Serikali inachukizwa sana na kitendo cha kujivunia mapato kinyume na Sheria
Biashara isiyokuwa na Leseni pamoja na biashara isiyolipa kodi
Makosa haya yanawezakumwingiza hatiani
Kesi yake ingekuwa nyepesi ikiwa App yake haikuwa ikivuna mapato au endapo mapato aliyovuna alilipa kodi ya Serikali
Danganya wajinga wenzako...kampuni karibia zote kubwa zimesajiliwa Ireland na zinalipa kodi Ireland ambayo ni kidogo kuliko nchi nyingi...nchi za mauzauza ambazo hawafungui ofisi hata ya Agent kama Tanzania kodi wanayolipa ni 0.00 japokuwa wanavuna mamilioni kwenye advertisement na hamuwezi kuwafanya chochote.META na XCorp ni za Marekani zenye leseni ya Kimataifa inayo operate dunia nzima na huwa wanalipa kodi kila nchi wanayokusanya mapato
Wao wamekula vingapi vya Haram?Serikali imechukia alikula pesa mwenye bila kulipa kodi
Mimi sikuwepo kwenye utungwaji wake.Mbona Sheria hizo mlizitunga wenyewe tangu zamani