kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Angesema alitoa mlungula kwani mashitaka yangebadilika?alisema alikuwa hajatimiza miaka 18 wakati huo! lazima aulizwe aliendeshaje gari bila leseni! na kama alikuwa na leseni aliipataje wakati alikuwa hajatimiza 18.......
Hivi watoto wanapendaga,si alikuwa anakabaka tu.Hivi mtu unayempenda unaku.tia kila siku kaanguka ghafla ndugu yake anasema namtafuta Dr aje ww unaweza kweli ukaenda coco kula upepo. Huyu dogo ahojiwe vzuri.
Niliondoka hapa mahakaman kes ikiwa inaendelea ngoja nifatilie nitakujuza mkuuhukumu lini?
Huko tzWanautafuta umri wake wakati "akimuua" Kanumba,sii unajua huko TZ huwezi pata Driving license mpaka uwe na 18+?ingawa hapa UK Ata ukiwa na 17 unapata "gamba" lako Tu.
Ndo hivo mkuu na ndo wanachokifanya hapamahakaman wanatabia hata ya kuingiza matukio ambayo hayahusian na hio kesi ili kuprove point flan
Soma tena sijasema haiwezekani kulewa na kuanguka.wewe, kulewa na kuanguka vinawezekana sana inategemea umeangukaje na wapi! Sakafu, unapata brain concussion!
Hapana mkuu hiyo ya kwenda Coco kachemkaMaelezo ya Lulu yamenyooka sana. Yuko vzuri. Kanumba katangulia, alale pema.
Mmh chini ya miaka 18 ww ndo mama mzazi wake au?MAELEZO YA HUYU BINTI YAMENYOOKA BILA KUPINDA. KIMSINGI KANUMBA NDO ALIKUWA NA KOSA, ALIKUWA NATEMBEANA MTOTO WA CHINI YA MIAKA 18. ALIYETANGULIA KATANGULIA, NINA IMANI MAHAKAMA ITATENDA HAKI MAANA HUYU BINTI INAVYOONEKANA HAHUSIKIMOJA KWA MOJA NA KIFO CHAKE.
Swala la umri lilishaitimishwa kesi ya awamu ya kwanza, kipindi cha mauaji alikua 17yrs according to vizazi na vifo, leo Judge Rumanyika kamtega kuhusu leseni ili ku'establish vitu vya kisheria ambavyo kwenye hitimisho wavitumie kumkaanga Lulu,Hee!kumbe mkubwa...basi kwenye hii kesi kazi anayo
Fafanua mkuu,Hapana mkuu hiyo ya kwenda Coco kachemka
Inahitajika momentum kias gan ili mtu sipate brain concussion?Soma tena sijasema haiwezekani kulewa na kuanguka.
Swala ni kuanguka kwa 'momentum' kubwa kiasi cha kupata brain concussion.
Bye.
Au ikawa kingi shoga, ikafungiwa.Kinatafutwa justification kwamba aliua akiwa Minor au magumashi!. Mahakamani ni kama mchezo wa draft. Unaweza ukawahi kuingia kingi lakini kingi yako ikaliwa vile vile!.
Halafu utashangaa kesho analalamika katizo la umeme mbagalaHuko tz
Hapa uk
Poa mkuu
Ok. Kumbe upo UKWanautafuta umri wake wakati "akimuua" Kanumba,sii unajua huko TZ huwezi pata Driving license mpaka uwe na 18+?ingawa hapa UK Ata ukiwa na 17 unapata "gamba" lako Tu.
Kumbe ww ndo hujielewei hakuna akili mbovu Kama za utoto Kama alikuwa na miaka hiyoo asingeenda coco kwendaKumbuka dogo kwa kipind kile alikua na 17yrs old, baada ya Sert kwenda kumfata Dr, it means lulu akabak alone ndan ya nyumba, akaona endapo kanumba angeamka angempiga, akaona bora asepe.
Jaribu kuwaza wew kipind una 17yrs old ulikua na akiri gan japo sifaham umri wako wa sasa?
Lulu is innocent
Sijui.Fafanua mkuu,
Inahitajika momentum kias gan ili mtu sipate brain concussion?
hapo "judge"-wakili au mwendesha mashtaka anajaribu kumuokoa Lulu ili kupata uthibitusho kuwa ni underage !marejemu huko aliko jasho linamtoka!Aman iwe nanyi wapendwa
Niko hapa mahakaman nikifatilia kwa karibu hii kes ya lulu
Moja ya vitu vinavyoniacha hoi ni maswali ya majaji wa hapa mahakam
Jaji lumanyika anaonekana kumukazia sana lulu tofaut na majaji wengine nahis huyu jaji atakuwa msukuma
Kamtwanga swali lulu kuhusu lesen ya gar lulu kasema alikuwa na lesen kipindi hicho
Akamurudia tena ieleze mahakama kama lesen yako ilikuwa halal, lulu akajichanganya akasema sikuwa na lesen
Mtanange bado unaendelea
Kwa kes ninanyoiona lulu lazima ale miala si chin ya kumi na tano
Bado niko hapa makaman mazee
LONDON BABY
Hapo kinachotafutwa si leseni ,ni kudai alikua bado mtoto under 18 yrs wakati analeseni howKutoka kusababisha kifo hadi masuala ya leseni duuuuh
Kumbe ww ndo hujielewei hakuna akili mbovu Kama za utoto Kama alikuwa na miaka hiyoo asingeenda coco kwenda