KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

Hivi mtu unayempenda unaku.tia kila siku kaanguka ghafla ndugu yake anasema namtafuta Dr aje ww unaweza kweli ukaenda coco kula upepo. Huyu dogo ahojiwe vzuri.
Hivi watoto wanapendaga,si alikuwa anakabaka tu.
 
wewe, kulewa na kuanguka vinawezekana sana inategemea umeangukaje na wapi! Sakafu, unapata brain concussion!
Soma tena sijasema haiwezekani kulewa na kuanguka.
Swala ni kuanguka kwa 'momentum' kubwa kiasi cha kupata brain concussion.
Bye.
 
MAELEZO YA HUYU BINTI YAMENYOOKA BILA KUPINDA. KIMSINGI KANUMBA NDO ALIKUWA NA KOSA, ALIKUWA NATEMBEANA MTOTO WA CHINI YA MIAKA 18. ALIYETANGULIA KATANGULIA, NINA IMANI MAHAKAMA ITATENDA HAKI MAANA HUYU BINTI INAVYOONEKANA HAHUSIKIMOJA KWA MOJA NA KIFO CHAKE.
Mmh chini ya miaka 18 ww ndo mama mzazi wake au?
 
Hee!kumbe mkubwa...basi kwenye hii kesi kazi anayo
Swala la umri lilishaitimishwa kesi ya awamu ya kwanza, kipindi cha mauaji alikua 17yrs according to vizazi na vifo, leo Judge Rumanyika kamtega kuhusu leseni ili ku'establish vitu vya kisheria ambavyo kwenye hitimisho wavitumie kumkaanga Lulu,
E.g kipindi kile alikua under 18, sasa ikawaje akapata leseni? It mean alidanganya umri au pengine leseni ilikua fake! It means kaidanganya mahakama na hata utetez wake usiaminike, bla bla kama hizo
All in all Mungu amsaidie Lulu ktk kipindi hiki kigumu anachopitia
 
Kumbuka dogo kwa kipind kile alikua na 17yrs old, baada ya Sert kwenda kumfata Dr, it means lulu akabak alone ndan ya nyumba, akaona endapo kanumba angeamka angempiga, akaona bora asepe.

Jaribu kuwaza wew kipind una 17yrs old ulikua na akiri gan japo sifaham umri wako wa sasa?

Lulu is innocent
Kumbe ww ndo hujielewei hakuna akili mbovu Kama za utoto Kama alikuwa na miaka hiyoo asingeenda coco kwenda
 
Fafanua mkuu,

Inahitajika momentum kias gan ili mtu sipate brain concussion?
Sijui.
Hivi hujawah kujikwaa ukaanguka?au kutereza mwenyewe ukiwa umelewa?Uliangukia kichwa hopelesly?Uliumia?
Am sorry nilisahau kanumba alikuwa mzito sana na kichwa kikubwa.
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Niko hapa mahakaman nikifatilia kwa karibu hii kes ya lulu

Moja ya vitu vinavyoniacha hoi ni maswali ya majaji wa hapa mahakam

Jaji lumanyika anaonekana kumukazia sana lulu tofaut na majaji wengine nahis huyu jaji atakuwa msukuma

Kamtwanga swali lulu kuhusu lesen ya gar lulu kasema alikuwa na lesen kipindi hicho

Akamurudia tena ieleze mahakama kama lesen yako ilikuwa halal, lulu akajichanganya akasema sikuwa na lesen

Mtanange bado unaendelea

Kwa kes ninanyoiona lulu lazima ale miala si chin ya kumi na tano

Bado niko hapa makaman mazee

LONDON BABY
hapo "judge"-wakili au mwendesha mashtaka anajaribu kumuokoa Lulu ili kupata uthibitusho kuwa ni underage !marejemu huko aliko jasho linamtoka!
 
Kumbe ww ndo hujielewei hakuna akili mbovu Kama za utoto Kama alikuwa na miaka hiyoo asingeenda coco kwenda

Ulitaka aende wapi? Na Kanumba alitakiwa akalee katoto kakue ktk misingi mema ya kumcha Mungu ila yeye akawa anakakomaza na kukaraghai

Lulu is innocent
 
Back
Top Bottom