KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

Kinatafutwa justification kwamba aliua akiwa Minor au magumashi!. Mahakamani ni kama mchezo wa draft. Unaweza ukawahi kuingia kingi lakini kingi yako ikaliwa vile vile!.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] naamini hata wakili wake hakuwaza kama watamuuliza swali kama hilo na tokea hapo ndo utajua alishamezeshwa yakusema halafu kinakuja kitu kingine.....
 
Binafsi mpaka leo kwangu ni mazingaumbwe nini kilimuondoa Kanumba fasta namna ile
 
Daaaah mkuu mkuu naomba punguza hasira mkuuu. Hakakadada ni kahuni basi kumbe kalikula na mzee wa CCM mbele kwa mbeleeee!! Si ajabu kule nako kalichangia mambo flani kachunguzwe vzr[emoji57]
 
alisema alikuwa hajatimiza miaka 18 wakati huo! lazima aulizwe aliendeshaje gari bila leseni! na kama alikuwa na leseni aliipataje wakati alikuwa hajatimiza 18.......
Na hapo alishafanyaga birthday ya kutimiza miaka 18,,lakin kesi ilivyotokea tu akawa chini ya umri wa miaka 18 haahhahaahh
 

Sijamlaumu huyu mtoto, na mimi siyo ke wala sijawahi kuridhia matendo unaoutetea, lakini hapa nina ONYESHA RANGI HALISI YA LULU KWAMBA HUWA NI KAONGO KAONGO SI KA KUKAAMINI!.
 
Kama alimuua na mahakama itende haki na afungwe tu [HASHTAG]#justiceforkanumba[/HASHTAG]
 
Hizimambo ukiwa nje ya mchezo unaweza kujiona Tundu lissu,ingia vaa viatu vya mtuhumiwa ndo utajua nini namaanisha
 
Mm sitak afungwe Ila naona utetezi wake utamfunga
amekosa watu wa kumshauri sijui,nilitegemea muda wote huo kakaa nje alikua keshajiset,matokeo yake anaongea ujinga kama huo mahakamani..nakumbuka dingi yangu mdogo alikuaga hakimu,ilikua kila jioni watu wenye kesi zao wanamtembelea nyumbani kwake,anakua anawafundisha namna ya kujitetea mahakamani,sasa huyu alikalia kula bata tu na wakati anajua ana mtiti mbele yake
 
Upo sahihi. Kulikubali kosa la kuendesha gari bila leseni ni nafuu kuliko huko kudanganya alikokufanya ili kuficha kosa la kuendesha gari bila kuwa na leseni halali.

Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
 
Nimesoma maelezo hayo kama ndivyo alivyoeleza basi asubiri mvua zake kadhaa.inaonyesha kuna kitu kikubwa kimejificha.Hasa kuhusu hilo panga.je Lulu alikuwa mtu wa kumshikia panga kweli.je Aunt Ezekieli umshikie nini? SMG?
Hakuna kinacho fichwa hapo, jamaa alikuwa anataka kumcharanga mapanga Lulu, na yeye Lulu kajihami pengine angembaka utatembeaje na watoto wa miaka chini ya 18?

Hii kesi ifutwe sioni kama ina umuhimu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…