Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Kwetu ukuriani ni kawaida sana kukimbizwa na panga
haitakiwi,ila siunajua tena haya mambo kibongo bongo hayaepukikinaomba kuuliza kaka
mtu mwenye kesi anaweza kwenda nyumbani kwa hakimu anaeisikiliza io kesi?? je kisheria inaruhusiwa???
lulu alikuwa na miaka mingapi ni immaterial na groundless concern hii case,,Lakini leseni yake pia inaweza ikawa kithibitisho cha kutuambia by that time Lulu alikuwa na miaka mingapi
Ehehheheeheh leo hapa nachekaaHivi nini maana ya cc? Sijaelewaga hadi leo, na hiyo mahondaw unaisomaje?
Na kama wakienda kwenye system za TRA wakikuta ni kweli ana driving license yake ni halali ?Mwanasheria wa utetezi kama anajua utetezi anaweza kukubali kwamba Lulu aliendesha bila leseni au alikuw ana leseni ya mazabe (kama kweli ilikuwa hivyo) kwa sababu ni bora kuwa na kesi ya kuendesha bila leseni kuliko kesi ya mauaji.
Haaa!nyuzi zimeunganishwa...mi hadi nacomment hakukuwa na essay ndefu hiviUmesoma yote? Nipe muhtasari sasa...
Tatizo si systemya TRA inasemaje,tatizoni ukweli ni nini.Na kama wakienda kwenye system za TRA wakikuta ni kweli ana driving license yake ni halali ?
Heheheeh mkaka[emoji23][emoji23][emoji23]Sijatukana kama wewe pumbavu!. Sijamlaumu huyu mtoto kahaba kwa ukahaba wake, na mimi siyo ke wala sijawahi kuridhia matendo ya upumbavu unaoutetea, lakini hapa nina ONYESHA RANGI HALISI YA LULU KWAMBA HUWA NI KAONGO KAONGO SI KA KUKAAMINI!. Kwa hiyo unataka niseme ni ka kweli sana haka ka malaya? Wewe ndelea na ukuwadi ama ukahaba wako lakini usichukie unapoitwa kahaba kwa kuwa hiyo ndiyo rangi yako!. Pumbavu!
Ahadi ni deni...Haaa!nyuzi zimeunganishwa...mi hadi nacomment hakukuwa na essay ndefu hivi
Hii post namba 186 nitaisoma yote alafu nitakuhadithia
Usijali..Ahadi ni deni...
yeye aliona jamaa yuko pombe mbaya na kazimika hakuwa na wazo la mtu kufa kwani sidhani kama palikuwa hata na damu ambao ingeweza kumgutusha kwamba kuna kitu serious kimetokea,Kwa nn asikimbilie kwao kwa mama ake eti aende kupunga upepo Coco apunguze stress mtoto Gan huyo anawaza Coco wakati anajua kuna ktu kimetokea ambacho Si cha kawaida kwake....
Ukweli ni kwamba hapa kwenye sababu ya kuanguka kuna kitu kimejificha hapa. bado pana maswali. Yaani yeye akiwa chooni kanumba akaanguka peke yake.Kwahiyo alimkimbiza na taulo hadi nje...akarudi nae tena chumbani ndo akadondoka ...!??
Mmhhh...!!??
Mbona haimake sense...
Kipi kikuchekeshechasho mamaEhehheheeheh leo hapa nachekaa
Ni swali la msingi na jibu lake inaonyesha alikua anajua madhara yaliyomkuta kanumba.Kwa nn asikimbilie kwao kwa mama ake eti aende kupunga upepo Coco apunguze stress mtoto Gan huyo anawaza Coco wakati anajua kuna ktu kimetokea ambacho Si cha kawaida kwake....
Ameanza mapenzi kabla ya kuchagua jinsia hapo Marinda yanasalimikaje plus ye ndo alikuwa anaongoza kwa kuvaa viminiTobaaa[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Marinda je anayo?....[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Tobaaa, wanaume waharibifu sisi[emoji79] [emoji79] [emoji79]Ameanza mapenzi kabla ya kuchagua jinsia hapo Marinda yanasalimikaje plus ye ndo alikuwa anaongoza kwa kuvaa vimini