Kabisa yaani , alishirikiana na Tiss na Polisi , huyu Hangaya kaiendeleza tu tena kwa shinikizo la kitengo , ulikuwa mpango wa Jiwe kufuta Chadema ili atawale kwa amani maisha yote .
NAAHIDI KUANZISHA UZI MWANANA KUHUSU HILI MUDA SI MREFU , KUNA WATU NAENDELEA KUWAHOJI
usiondoke JF
M/wakudumuJaji anasema majina ya watu wasiokuwepo mahakamani yasitajwe kwasababu hawawezi kujitetea lakini hakumbuki majina ya kina Sabaya, Makonda etc yametajwa mahakamani!
M/wakudumuJaji anasema majina ya watu wasiokuwepo mahakamani yasitajwe kwasababu hawawezi kujitetea lakini hakumbuki majina ya kina Sabaya, Makonda etc yametajwa mahakamani!
Sidhani kama umeelewa shida shahidi kachagua miamala ya Mbowe kakwepa ya Mwinyi alipoulizwa kasema alipitiwaKwa haiba ya Rais Mwinyi kipindi akiwa waziri wa ulinzi sishangai kama kumsaidia mtu anaeyemfahamu kumtumia pesa ikawa ni jambo la ajabu.
Uungwana wake si sababu ya kuona kama alitenda jambo baya na jambo lipo kwa mahakama ngoja niishie hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana akawa ametoa pesa nyingi zaidi ya zile laki 6 alizotoa Mbowe....!!Wamuite Mwinyi aje kusimamia mahakani siku nzima... hamna namna
Duh Watu wazito kuelewaKwani huyu tangu utumiaji wa miamala ya simu uanze katumiwa na watu wawili tu? Mbowe na Mwinyi?
Anafanya kusudi tuSidhani kama umeelewa shida shahidi kachagua miamala ya Mbowe kakwepa ya Mwinyi alipoulizwa kasema alipitiwa
Mbowe ndo kaingia king mwenyewe kuwatafuta watu wa kitengo kumbe alikuwa anategwa.Nilishangaa sana Jiwe kumpa nafasi Hussein huku Wazanzibar wote wakimkataa , kumbe alimtumia ili kumbambika kesi Mbowe !
Tunamtetea kwenye haki, mbona mama yako Hangaya kasema wenzake na mboye walishafungwaMbowe ndo kaingia king mwenyewe kuwatafuta watu wa kitengo kumbe alikuwa anategwa. Hao kina lingwenya wanajua walichokua wanafanya kati ya serikari na ujinga wa mbowe bila yeye kujua wanamlipoti...
Unajiona una akiiiiiiiiiiilijiwe na mbowe ,walikuwa ma best Sana,jiwe hakutaka kumsulubu mbowe,alikausha ,isingekuwa hivyo Basi hii kesi ingeanza kpindi Cha jiwe. Hapa ni Bibi ndo master mind,na sabab mnaijua! Sema MAchadema akili zenu fupi,yaani mpaka Sasa hamjui mnapambana na Nani!!, Na kwa sababu gani!! Daah ! Kwa akili hizi mbowe anahaki ya kuendelea kuwa mwenyekiti !!
Ukuu mbele ya pyuu pyuuInaonekana huyu Jaji ni mwoga-mwoga. Anasahau ukuu wa kiti chake na mamlaka yake kama mtoa haki.
Vv
Atayaeleza mwenyewe!Kwa haiba ya Rais Mwinyi kipindi akiwa waziri wa ulinzi sishangai kama kumsaidia mtu anaeyemfahamu kumtumia pesa ikawa ni jambo la ajabu.
Uungwana wake si sababu ya kuona kama alitenda jambo baya na jambo lipo kwa mahakama ngoja niishie hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
YeeeeesEwaaaaaaa, kama sio kosa, kwanini Mbowe akamatwe kwa kuwatumia pesa Akina Adamoo? Kote kwa moto
Hapana sio kosa kutoka kwa watu wengine kwenda kwa akina Adamoo, ila kwa Mbowe kuwatumia pesa Makomandoo ni kosa,na ni kufadhili ugaidi.Kwani nikosa kumtumia mtu pesa?
Umli ndio nn, kubandika kwenyewe hujui ndio utaweza kweli kudadavua hii case? Bora ukacheze mdako na wifi yakoMbowe ndo kaingia king mwenyewe kuwatafuta watu wa kitengo kumbe alikuwa anategwa. Hao kina lingwenya wanajua walichokua wanafanya kati ya serikari na ujinga wa mbowe bila yeye kujua wanamlipoti...