Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

Kabisa yaani , alishirikiana na Tiss na Polisi , huyu Hangaya kaiendeleza tu tena kwa shinikizo la kitengo , ulikuwa mpango wa Jiwe kufuta Chadema ili atawale kwa amani maisha yote .

NAAHIDI KUANZISHA UZI MWANANA KUHUSU HILI MUDA SI MREFU , KUNA WATU NAENDELEA KUWAHOJI
usiondoke JF

Chuki za jiwe zitakuja kukutoa roho wewe,muache marehem apumzike
 
Ngoja niwasiliane na mawakili wangu ili nikafungue kesi inakuwaje Raisi wa Zanzibar mpaka Sasa awepo madarakani wakati alikuwa anawasiliana na magaidi mpaka akawa anawatumia pesa hao magaidi.
 
Jaji anasema majina ya watu wasiokuwepo mahakamani yasitajwe kwasababu hawawezi kujitetea lakini hakumbuki majina ya kina Sabaya, Makonda etc yametajwa mahakamani!
 
Kwa haiba ya Rais Mwinyi kipindi akiwa waziri wa ulinzi sishangai kama kumsaidia mtu anaeyemfahamu kumtumia pesa ikawa ni jambo la ajabu.

Uungwana wake si sababu ya kuona kama alitenda jambo baya na jambo lipo kwa mahakama ngoja niishie hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama umeelewa shida shahidi kachagua miamala ya Mbowe kakwepa ya Mwinyi alipoulizwa kasema alipitiwa
 
Kwani huyu tangu utumiaji wa miamala ya simu uanze katumiwa na watu wawili tu? Mbowe na Mwinyi?
 
Nilishangaa sana Jiwe kumpa nafasi Hussein huku Wazanzibar wote wakimkataa , kumbe alimtumia ili kumbambika kesi Mbowe !
Mbowe ndo kaingia king mwenyewe kuwatafuta watu wa kitengo kumbe alikuwa anategwa.
Hao kina lingwenya wanajua walichokua wanafanya kati ya serikari na ujinga wa mbowe bila yeye kujua wanamlipoti.

Mnao mtetea mbowe mna kazi sana
Kwa mtu mwenye akili huwezi kutumia simu yako wewe mwenyewe kutuma miamara wakati unatengeneza uhalifu.

Kwani alikosa kupata mtu kama ATM wa kugawa hiyo miamala na yeye abaki kutoa maelekezo?
Hiyo kesi anaweza kushinda ila aache tabia za kihuni, umli umeshaenda asije jikuta kama Savimbi.
 
Navyoijua Jamhuri,
Ni muda muafaka sasa, DPP kuja na ile kauli yake ya OFISI YAKE HAINA NIA YA KUENDELEA NA KESI! Upande wa utetezi hauna kipingamizi, comedy zinarudiwa
 
Mbowe ndo kaingia king mwenyewe kuwatafuta watu wa kitengo kumbe alikuwa anategwa. Hao kina lingwenya wanajua walichokua wanafanya kati ya serikari na ujinga wa mbowe bila yeye kujua wanamlipoti...
Tunamtetea kwenye haki, mbona mama yako Hangaya kasema wenzake na mboye walishafungwa

Hapo mama yako Hangaya alipozungumza ulijiona husikii, tulia dawa ikuingie

Hangaya+Mwinyi tunawataka mahakamani
 
jiwe na mbowe ,walikuwa ma best Sana,jiwe hakutaka kumsulubu mbowe,alikausha ,isingekuwa hivyo Basi hii kesi ingeanza kpindi Cha jiwe. Hapa ni Bibi ndo master mind,na sabab mnaijua! Sema MAchadema akili zenu fupi,yaani mpaka Sasa hamjui mnapambana na Nani!!, Na kwa sababu gani!! Daah ! Kwa akili hizi mbowe anahaki ya kuendelea kuwa mwenyekiti !!
Unajiona una akiiiiiiiiiiili
 
Kwa haiba ya Rais Mwinyi kipindi akiwa waziri wa ulinzi sishangai kama kumsaidia mtu anaeyemfahamu kumtumia pesa ikawa ni jambo la ajabu.

Uungwana wake si sababu ya kuona kama alitenda jambo baya na jambo lipo kwa mahakama ngoja niishie hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Atayaeleza mwenyewe!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Mbowe ndo kaingia king mwenyewe kuwatafuta watu wa kitengo kumbe alikuwa anategwa. Hao kina lingwenya wanajua walichokua wanafanya kati ya serikari na ujinga wa mbowe bila yeye kujua wanamlipoti...
Umli ndio nn, kubandika kwenyewe hujui ndio utaweza kweli kudadavua hii case? Bora ukacheze mdako na wifi yako
 
Back
Top Bottom