Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

Muongo mkubwa.

Jiwe alifanya maovu haya juu ya Mbowe:-

Kubomoa bilicanas.
Kuharibu bustani za mbogamboga.
Kufunga akaunti.
Kuona hela kutoka akaunti hizo.
Kumtumia jambazi Sabaya kumhujumu.
Kwa hayo machache hawakua mabest.
 
Daima Mungu usimama kwa mwenye nia njema na umuumbua mwenye nia hovu
 
Jaji ame-panic mmepata wapi hiyo?!

Hizo siri walitaka wapewe wao tu, wakipewa wengine wanatoa macho, na bado.

Waambie watulie waache mchezo uendelee, hakuna kuweka mpira kwapani hapa hata kama refa wa kwao.
Ndiyo maana tunasema kuwa cdm ipo kwa makusudi ya Mungu kwa watanzania.
 
Mwaga mwaga mtama ili kuku na tetele wafaidi
 
Sidhani kama umeelewa shida shahidi kachagua miamala ya Mbowe kakwepa ya Mwinyi alipoulizwa kasema alipitiwa
... kwa kauli hiyo automatically anakiri Mwinyi alifanya muamala uliotajwa ila yeye shahidi "akapitiwa" hakuuweka kwenye ripoti. Amerahisisha kazi pakubwa; hatutegemei tena kesho waseme Mwinyi hakutuma huo mwamala; an indication mifumo itakuwa imechezewa. Hawa mawakili wa utetezi kama wanatumia uchawi vile; wakimhoji shahidi lazima afunguke mazima; ha haha!
 
unajua akina Bwire wamekamatwa lini ?
Huyo jamaa ni muongo Sana ,wala usipoteze muda wako kumjibu.
Jiwe alimchukia Sana Mbowe.
Aliharibia bustani zake,
Akabomoa club pendwa kabisa Tanzania,
Akamtuma jambazi Sabaya amhujumu,
Akafunga akaunti zake,
Akaiba hela kwenye akaunti.
Hayo ni tunayoyajua,tusiyoyajua mangapi.
Jiwe hakua mtu,alikua jitu.
 
Naona kama wafuasi wa Chadema wamepoteza mwelekeo kabisa kuhusiana na hii kesi .Wanakimbilia kuhukumu kila yanapokuja maelezo mapya utadhani ndiyo mwisho wa kesi. Kwa nini msisuburi mpaka mwisho Mbowe atakapoachiwa ?
 
Una umwa wewe
 
Peleka wewe huo uthibitisho wa Ugaidi sio huu wa kutuma pesa kwa miamala eti ndio ugaidi
 
Naona kama wafuasi wa Chadema wamepoteza mwelekeo kabisa kuhusiana na hii kesi .Wanakimbilia kuhukumu kila yanapokuja maelezo mapya utadhani ndiyo mwisho wa kesi. Kwa nini msisuburi mpaka mwisho Mbowe atakapoachiwa ?
Kwani wamesitisha mwenendo wa kesi?? Tulieni twende hivi hivi. Kwanini inaonekana wafuasi wana furaha kuliko nyie msioshitakiwa?

Yaani mshtakiwa ana tabasamu mshtaki kanuna🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…