T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Huwa mnaona kila jambo linawezekanaHakuna jiwe litaachwa, Na Samia pia ataitwa atoe ushaidi wa ugaidi wa Mbowe, si alisema anao na wengine wamehikumiwa..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa mnaona kila jambo linawezekanaHakuna jiwe litaachwa, Na Samia pia ataitwa atoe ushaidi wa ugaidi wa Mbowe, si alisema anao na wengine wamehikumiwa..!
Muongo mkubwa.jiwe na mbowe ,walikuwa ma best Sana,jiwe hakutaka kumsulubu mbowe,alikausha ,isingekuwa hivyo Basi hii kesi ingeanza kpindi Cha jiwe. Hapa ni Bibi ndo master mind,na sabab mnaijua! Sema MAchadema akili zenu fupi,yaani mpaka Sasa hamjui mnapambana na Nani!!, Na kwa sababu gani!! Daah ! Kwa akili hizi mbowe anahaki ya kuendelea kuwa mwenyekiti !!
Daima Mungu usimama kwa mwenye nia njema na umuumbua mwenye nia hovuHii kesi itavua Watu nguo saana, nakiri nilikua sahihi kusali usiku na mchana isifutwe.
Muda huu kwenye cross examination, Mtobesya anamtaja Aliyewahi kuwa Waziri wa Ulinzi Ndugu Mwinyi kuwa alimtumia pesa Mtuhumiwa ndugu Bwire.
Judge kaona isiwe tabu, kauliza kama wako tayari Waziri huyo aitwe, wakajibu NDIO MUDA UKIFIKA.
--
Mallya: Sasa Kwenye Miamala ya Khalfani Bwire, Ina onyesha alikuwa anatumiwa Fedha na Waziri wa Ulinzi Kipindi Kile Ambaye ni Hussein Mwinyi ambaye sasa ni Rais wa Zanzibar, Ila Wewe Ukaona Ufiche tusione Miamala hiyo.
Jaji: Bwana Mallya, Unatoa wapi Maelezo hayo?
Malya: Kwa wateja wetu Jaji
Fita ni fita muuraaaa wacha mungu atende miujizaTuliwaonya wakatupuuza , sasa tunafumua kila kitu , LIWALO NA LIWE
Siyo cdm wanao muita bali ni kwa matakwa ya sheria zilizo tungwa na jmt.Wacha tuone, CHADEMA wanataka kumuita kizimbani Mheshimiwa "Rahisi" wa Zenji
Daima Mungu hafichwi kitu chochoteNilishangaa sana Jiwe kumpa nafasi Hussein huku Wazanzibar wote wakimkataa , kumbe alimtumia ili kumbambika kesi Mbowe !
Hapa ndipo utakapo waona CCM wakiwa na rangi mbili.Kwani Mbowe hana haiba ya kusaidia watu?
Ndiyo maana tunasema kuwa cdm ipo kwa makusudi ya Mungu kwa watanzania.Jaji ame-panic mmepata wapi hiyo?!
Hizo siri walitaka wapewe wao tu, wakipewa wengine wanatoa macho, na bado.
Waambie watulie waache mchezo uendelee, hakuna kuweka mpira kwapani hapa hata kama refa wa kwao.
Sema kimeumanaKimenuka
Yes ni ramani ya jiweMkuu kwani hii kesi kaianzisha Jiwe??
Mwaga mwaga mtama ili kuku na tetele wafaidiKabisa yaani , alishirikiana na Tiss na Polisi , huyu Hangaya kaiendeleza tu tena kwa shinikizo la kitengo , ulikuwa mpango wa Jiwe kufuta Chadema ili atawale kwa amani maisha yote .
NAAHIDI KUANZISHA UZI MWANANA KUHUSU HILI MUDA SI MREFU , KUNA WATU NAENDELEA KUWAHOJI
usiondoke JF
... kwa kauli hiyo automatically anakiri Mwinyi alifanya muamala uliotajwa ila yeye shahidi "akapitiwa" hakuuweka kwenye ripoti. Amerahisisha kazi pakubwa; hatutegemei tena kesho waseme Mwinyi hakutuma huo mwamala; an indication mifumo itakuwa imechezewa. Hawa mawakili wa utetezi kama wanatumia uchawi vile; wakimhoji shahidi lazima afunguke mazima; ha haha!Sidhani kama umeelewa shida shahidi kachagua miamala ya Mbowe kakwepa ya Mwinyi alipoulizwa kasema alipitiwa
Huyo jamaa ni muongo Sana ,wala usipoteze muda wako kumjibu.unajua akina Bwire wamekamatwa lini ?
Una umwa weweNaona kama wafuasi wa Chadema wamepoteza mwelekeo kabisa kuhusiana na hii kesi .Wanakimbilia kuhukumu kila yanapokuja maelezo mapya utadhani ndiyo mwisho wa kesi. Kwa nini msisuburi mpaka mwisho Mbowe atakapoachiwa ?
Peleka wewe huo uthibitisho wa Ugaidi sio huu wa kutuma pesa kwa miamala eti ndio ugaidiNaona kama wafuasi wa Chadema wamepoteza mwelekeo kabisa kuhusiana na hii kesi .Wanakimbilia kuhukumu kila yanapokuja maelezo mapya utadhani ndiyo mwisho wa kesi. Kwa nini msisuburi mpaka mwisho Mbowe atakapoachiwa ?
Jaji Liganga awe makini na hii kesi🤣🤣🤣Tuliwaonya wakatupuuza , sasa tunafumua kila kitu , LIWALO NA LIWE
Kwani wamesitisha mwenendo wa kesi?? Tulieni twende hivi hivi. Kwanini inaonekana wafuasi wana furaha kuliko nyie msioshitakiwa?Naona kama wafuasi wa Chadema wamepoteza mwelekeo kabisa kuhusiana na hii kesi .Wanakimbilia kuhukumu kila yanapokuja maelezo mapya utadhani ndiyo mwisho wa kesi. Kwa nini msisuburi mpaka mwisho Mbowe atakapoachiwa ?
Kwani wamesitisha mwenendo wa kesi?? Tulieni twende hivi hivi. Kwanini inaonekana wafuasi wana furaha kuliko nyie msioshitakiwa?Naona kama wafuasi wa Chadema wamepoteza mwelekeo kabisa kuhusiana na hii kesi .Wanakimbilia kuhukumu kila yanapokuja maelezo mapya utadhani ndiyo mwisho wa kesi. Kwa nini msisuburi mpaka mwisho Mbowe atakapoachiwa ?
Usisumbuke na TAGA!Alikua best ake na akambomolea billicanas,kaharibu shamba lake etc