Kesi ya Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali yaanza kusikilizwa

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,790
Reaction score
288,165
Leo Jumatatu tarehe 30 Agosti, 2021 Kesi ya Kikatiba ya Mhe. Freeman Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali imeanza kusikilizwa Mahakama Kuu. Walikuwepo wawakilishi wa Balozi za Marekani, Uingereza na Sweden Mahakamani. Kesho Jumanne 31 Agosti, 2021 Kesi ya Ugaidi.



Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mhe. Salum Mwalim akiwa pamoja na baadhi ya viongozi waandamizi wa chama katika Mahakama Kuu Dar es salaam leo Agosti 30, 2021 kusikiliza kesi aliyoifungua Mhe. Freeman Mbowe dhidi ya Serikali akipinga utaratibu ulivyotumika kumkamata.

Pia soma;

Thread 'Kesi ya Mbowe dhidi ya DPP, IGP na Mwanasheria Mkuu kuendelea tena tarehe 30/8/2021' Kesi ya Mbowe dhidi ya DPP, IGP na Mwanasheria Mkuu kuendelea tena tarehe 30/8/2021

Thread 'Serikali yamwekea pingamizi Mbowe kesi aliyofungua

' Serikali yamwekea pingamizi Mbowe kesi aliyofungua
 
Safi sana Mabalozi.

This is an indication that the world is against CCM.

Ngoja tuone watawafanya nini.

Niwaambie tu, siku CCM ikitoka madarakani, misaada kutoka kwa Nchi Wahisani inaweza kuongezeka kwa asilimia 50 mpaka 100, na hata baadhi ya madeni tunaweza kusamehewa kabisa.

CCM wanaharibu sana hii nchi, na wanaligharimu sana Taifa hili na watu wake kwa kukosa busara,maarifa na hekima za kuongoza hii nchi.
 
Mission za CCM huwa zinafeli kishamba sana, walidhani wanamkomoa Mbowe kumbe wanaishtua jumuia ya kimataifa, wanajitutumua kurudisha mahusiano na wazungu ila kwa ujinga wao wanayabomoa tena.
 
Mulamula Liberata sia aliwapa onyo matokeo yake Denish wanafunga ubalozi wao
 
HATA WAKIENDA HAWANA LA KUIFANYA MAHAKAMA ITAKAVYOAMUA
Hahah mbona mataga pori umepanic namna hii??

Nani kasema wapi kuwa mabalozi watafanya nini?

By the way jana nimeona tamko la wizara, serikali ikilalamika Dermark kufunga ubalozi wao hapa Tz means serikali yako ya CCM inawahitaji sana hawa mabalozi kuliko hata wanavyokuhitaji wewe.
 
Mission za CCM huwa zinafeli kishamba sana, walidhani wanamkomoa Mbowe kumbe wanaishtua jumuia ya kimataifa, wanajitutumua kurudisha mahusiano na wazungu ila kwa ujinga wao wanayabomoa tena.
YAANI MNAJISUMBUA TU HAKUNA DUNIA INAYOWEZA KUISUMBUA TANZANIA WANA WACHORA TU NA GAIDI LENU MBOWE
 
Kesi aliyoifungua Freeman Mbowe Mahakama kuu dhidi ya IGP, DPP na AG ya kupinga namna alivyokamatwa Mwanza na kupewa kesi ya uongo ya Ugaidi, imeendelea leo Mahakama Kuu na kuvuta lundo na wawakilishi wa Jumuiya ya Kimataifa, ama labda kuliko kesi yoyote ya namna hii iliyowahi kusikilizwa barani Africa.

Kama kuna aliyedhani haya mambo ni madogo basi anapaswa kufikiria upya.


Mungu ibariki Chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…