BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Leo Jumatatu tarehe 30 Agosti, 2021 Kesi ya Kikatiba ya Mhe. Freeman Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali imeanza kusikilizwa Mahakama Kuu. Walikuwepo wawakilishi wa Balozi za Marekani, Uingereza na Sweden Mahakamani. Kesho Jumanne 31 Agosti, 2021 Kesi ya Ugaidi.
Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mhe. Salum Mwalim akiwa pamoja na baadhi ya viongozi waandamizi wa chama katika Mahakama Kuu Dar es salaam leo Agosti 30, 2021 kusikiliza kesi aliyoifungua Mhe. Freeman Mbowe dhidi ya Serikali akipinga utaratibu ulivyotumika kumkamata.
Pia soma;
Thread 'Kesi ya Mbowe dhidi ya DPP, IGP na Mwanasheria Mkuu kuendelea tena tarehe 30/8/2021' Kesi ya Mbowe dhidi ya DPP, IGP na Mwanasheria Mkuu kuendelea tena tarehe 30/8/2021
Thread 'Serikali yamwekea pingamizi Mbowe kesi aliyofungua
' Serikali yamwekea pingamizi Mbowe kesi aliyofungua