Kesi ya Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali yaanza kusikilizwa

NCHII HAIWEZI KUENDESHWA KWA KUWATEGEMEA MABALOZI
 
Yaani uchizi umewazidi Chadema yaani hao wazungu watatu tu ndiyo unasema wamefika kwa wingi? Mmeishiwa pozi mnategemea wazungu gaidi lazima ale mvua tu
 
Safi sana.

Shikisha adabu hao wakoloni weusi.
Kawapiga chini Denmark. Wakijifanya wajanja, EU yote, US & Canada watafuata - wabakie na Wachina na Warusi kama Mgabe alivyobaki nao na kufa nao dadeki!
 
YAANI UCHIZI UMEWAZIDI CHADEMA YAANI HAO WAZUNGU WATATU TU NDIYO UNASEMA WAMEFIKA KWA WINGI? MMEISHIWA POZI MNATEGEMEA WAZUNGU GAIDI LAZIMA ALE MVUA TU
Wee nawe boya tu, yaani mtu mmoja amekwishakuwa CHADEMA?
 
Asante kwa taarifa , Barikiwa mdau wangu wa ukweli! Lakini hapo kwenye heading ya thread, nafikiri uandishi sahihi ni KESI YA SERIKALI DHIDI YA MBOWE NA SIO KESI YA MBOWE DHID YA SERIKALI. Hii ni kutokana na ukweli kuwa ni Serikali ndo imemfungulia mbowe kesi na sio Mbowe aliyeifungulia serikali kesi!
 
Kesi zote mbili zipo; yaani Mbowe Vs Serikali na Serikali Vs Mbowe
 
Mliuanzisha Mchezo wa Rafu, Marefa na wachezaji mkawa ninji,Dakika Tisini Mashindi lazima apatikane. Dakika tisini Lazima ziishe hata kama mpo pungufu maana Camptain wenu wa Mchezo wa Rafu is no more. Tamu wili teli wazungu walisema....
 
Hii siyo kesi ya Ugaidi , ni kesi aliyoifungua Mbowe akipinga aliyotendewa na serikali , ile nyingine ya serikali ikitajwa tutakuambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…