Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Utamfungia mtu anaekulisha mkuu?Wamemuonyesha Balozi Mulamula hawamuogopi na cha kuwafanya hana.
Unalinganisha gaidi alieua watu na maneno matupu ya hawa wanasiasa?Akili za wapi hizi?!
Unataka kusema nini hapa mkuu?Wala hateseki,mnamlisha bure,kulala bure na kumpa political mileage.
Upumbavu na kukosa maarifa ni mzigo mzito sana
Unalinganisha gaidi alieua watu na maneno matupu ya hawa wanasiasa?Akili za wapi hizi?!
Unaijua sayansi ya kulinganisha vitu?Kajifunze kwanza sayansi ya kulinganisha vitu ndipo urudi hapa!
Na bado umeusoma huo upuuzi na ku comment juu!!Upuuzi mtupu
Ni punguani peke yake ndiye anaweza kulinganisha gaidi aliefanya mauaji na wanasiasa.Nakushauri kuwa kuanzia leo badili ID yako kutoka Iboya2021 kuwa 'boya' ili isomeke sawasawa.View attachment 1916663
ANGALIA WALIVYOKONDA BAADA YA KULA HELA YA LOWASA WAKANENEPA ANGALIA MSIGWA DAAA HALAFU MBOWE AKAWAPIGA NA ZA SABODO ZA KUJENGA OFISI YAANI CHADEMA SIYO CHAMA NI GENGE LA WAHUNI TU
Ungesema tu vizuri kuwa mwamba alitumwa na hawa jamaa.... naona Mahakama imejaa "ngozi nyeupe" tupu! Mwamba ni international figure Kusini mwa Jangwa la Sahara kuliko kiongozi mwingine yeyote wa kisiasa kwa nyakati zetu hizi!
NYIE MBOWE ANAWAPUMULIA YAANI HATA AFANYE MAKOSA GANI MNAJITAHIDI SANA KUMSAFISHA INGAWAJE HASAFISHIKINi punguani peke yake ndiye anaweza kulinganisha gaidi aliefanya mauaji na wanasiasa.Nakushauri kuwa kuanzia leo badili ID yako kutoka Iboya2021 kuwa boya.
WATOTO WAKO UJUE WAKO HUMU JF WATAONA NI KIASI GANI WANA LIBABA BWABWAUnalinganisha gaidi alieua watu na maneno matupu ya hawa wanasiasa?Akili za wapi hizi?!
Unaijua sayansi ya kulinganisha vitu?Kajifunze kwanza sayansi ya kulinganisha vitu ndipo urudi hapa!
Na nyie msafisheni huyu mwamba wenuππππNYIE MBOWE ANAWAPUMULIA YAANI HATA AFANYE MAKOSA GANI MNAJITAHIDI SANA KUMSAFISHA INGAWAJE HASAFISHIKI
Mbowe akifanikiwa atoke aje na moango kabambe sio anakamatwa hivyo kama bata,na hata ikitokea amekamatwa aache msala wa maana utakaonanzishwa na wananchi ili badaye atoke kwa nguvu ya umma.
AMESHAKUFA ANGEKUWA HAI TUNGEMUULIZA AIKUWA NA MAANA GANI SASA NYIE MNASHINDWA KUMUULIZA MBOWE HATA HELA YA SABODO ALIYOTOA KUJENGA OFISI ALIIPELEKA WAPI? NAYO MNAONA NI NGUMU?Na nyie msafisheni huyu mwamba wenuππππ
View attachment 1916667
Mbowe kafanya mambo gani mabaya?AMESHAKUFA ANGEKUWA HAI TUNGEMUULIZA AIKUWA NA MAANA GANI SASA NYIE MNASHINDWA KUMUULIZA MBOWE HATA HELA YA SABODO ALIYOTOA KUJENGA OFISI ALIIPELEKA WAPI? NAYO MNAONA NI NGUMU?
Mission ya kwanza ya CCM ni kuongoza Nchi na maeneo mengine ya kiutawala hebu fanya kutathimini kama pia imefail hiyo missionMission za CCM huwa zinafeli kishamba sana, walidhani wanamkomoa Mbowe kumbe wanaishtua jumuia ya kimataifa, wanajitutumua kurudisha mahusiano na wazungu ila kwa ujinga wao wanayabomoa tena.
Huna tofauti na jina lakoGAIDI ANAZIDI KUTESEKA TU NDIYO AKOME KUFANYA UGAIDI
Subiri kesho ndo uongelee mambo ya ugaidi, Wewe boya, leo ni kesi ya katiba!GAIDI ANAZIDI KUTESEKA TU NDIYO AKOME KUFANYA UGAIDI