Kesi ya Mbowe: Haki Haikuonekana Kutendeka

Kwa maelezo hayo, ni dhahiri wewe ni mwanasheria. Kwa sababu hiyo nashauri uungane na jopo la mawakili watetezi uongeze nguvu.

Ila ikumbukwe kuwa kesi ya msingi inacheleweshwa na pingamizi zisizo na mashiko. Ni pingamizi zinazomweka mshitakiwa katika wakati mgumu pale kesi ya msingi itakaposikilizwa.

Kwa hiyo, kwangu mimi, wa kulaumiwa ni Kibatala, Wakili msomi, na wenzake wanaomtetea Mbowe.
 
Wanaweka pdf likae sawia from ze begining....jaji wa kwanza KAJITOA.jaji wa PILI kajitoa.next jaji wa tatu
 
Watu hawajui, mpaka sasa mahakama imeharibika. Kiuhalisia hakuna mahakama.

Majaji karibia wote aliowateua marehemu ni miongoni mwa kundi lile la Wasiojulikana. Na msajili wa mahakama ni miongoni mwa wasiojulikana. Yeye ndiye anapanga jaji/hakimu gani asikilize kesi ipi. Zile zote za serikali kuwaonea/kuwagandamiza/kuwakomesha raia wanapangwa wasiojulikana waliopelekwa mahakamani kwaajili ya kupindisha haki ja sheria.

Msajili wa mahakama, Wasiojulikana
Jaji kiongozi Wasiojulikana
Jaji Mkuu Wasiojulikana
Hivi kweli bado kuna mahakama?
 
Maamuzi ya jaji kiongozi yaataathir mahakama za chini,mahakama za chini zote zitaiga msitegemee haki tena huk huko
 
Huwezi kufumbia macho ukiukwaji wa sheria unaofanywa kuanzia mwanzo ili kusubiri hukumu ya mwisho, kila jambo/hatua kuanzia kumkamata mtuhumiwa, kumfanyia upelelezi, mpaka kumfikisha mahakamani lina taratibu zake zilizoainishwa kisheria, kukiuka taratibu yoyote kati ya hizo kunaifanya kesi husika kuwa batili na kustahili kuondolewa mahakamani.

Ajabu, jaji ameamua kufumbia macho ukiukwaji huo kwa kuangalia "maoni yake" yanasema nini akijua fika sheria ingewabana rafiki zake wa jamhuri, nimemkumbuka na yule jaji mwingine alieamua kuwa mwalimu wa upande wa jamhuri badala ya kuwa refarii/neutral, ndipo Chadema wakasema hawana imani nae, kwenye mazingira haya hata kuongeza nguvu ni ujinga tu.
 

Nchi imetekwa nyara na kundi hili:



Kina pole pole na kina bashiri wenye njaa sasa wanaliongelea kundi hili.

Mwalimu Nyerere aliipenda nchi siyo CCM

Tupendeni nchi si vyama. Ukombozi wa nchi hii utaletwa na wenye moyo:

[CHADEMA: Tanzania itakombolewa na wenye Moyo
 

Nyota njema kuonekana asubuhi.

Hukumu ni kwa mujibu wa sheria. Kwa mujibu wa maoni ya mtu ni batili.

Jaji dhaifu kabisa.
 
Kenge mama yako aliyekuzaa. Acha matusi jibu kwa ustarabu. Bananga atachukua teuzi nyie mtabaki kutukana watu tuu.
Kwa Sabaya mnakenua meno haki imetendeka ,kwa Mbowe haki haikutendeka.
Acheni kuingilia Uhuru wa Mahakama kenge nyinyi.
 

 
Hivi hawa majaji ulinzi wao ukoje? Wangefanyiziwa wangeacha kutumika
Kwani wana ulinzi mkali kuzidi ule wa John Kennedy ?
Naamini wana ulinzi wa kawaida sana, sema watz wavumilivu ila itfika wakati vichwa vyao vitakuwa mali halali za watu wengine wanaoonewa.
 
Kwa Sabaya mnakenua meno haki imetendeka ,kwa Mbowe haki haikutendeka.
Acheni kuingilia Uhuru wa Mahakama kenge nyinyi.
Hapa tunasema HAKI , kisa Jaji lakini Hata kushughulisha ubongo KWa vitu vilivyo wazi hataki, hukum kwenye KESI ndogo aliandikiwa ,amedhalilisha Mahakama Sana
 
Hapa tunasema HAKI , kisa Jaji lakini Hata kushughulisha ubongo KWa vitu vilivyo wazi hataki, hukum kwenye KESI ndogo aliandikiwa ,amedhalilisha Mahakama Sana

Hukumu zote za haki, benefit of doubts huamriwa "in favor" ya washitakiwa. Ndiyo maana Zombe na washitakiwa wenziwe waliachiwa huru.

Kwamba kuna mashaka hukumu inatoka "in favor" ya upande wa mashtaka? Hii mbona mpya? Ni haki kuwaachia washitakiwa 10 panapo mashaka kuliko kumfunga 1 pasipo na uhakika.

Jaji Siyani kathibitisha kwa nini katiba mpya ni dharura sana.

Kwa katiba hii mahakama ni chombo cha dola - instrument of the state.

Haki tukaipate wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…