Kitaalam Hapo Serikali Imerudisha Mpira Kwa Kipa Kizembe SanaUnafahamu maana ya " kuweka mpira kwapani"?
Vitabu vya sheria vimebaki na kumbukumbu moja, serikali ilithibitisha ugaidi wa Mbowe, akaonekana ana kesi ya kujibu, hivyo kutakiwa ajitetee.
Mbowe hana hukumu ya kurejea kumsafisha!! Serikali Ina hukumu ya kuonyesha ilithibitisha Mbowe gaidi na ana kesi ya kujibu
Mbowe na makomandoo inabidi walipwe fidia kwa usumbufu waliopata!Serikali Ina uamuzi (ruling) kwamba jamaa Wana kesi ya kujibu, Mbowe hana uamuzi unaosema hana kesi ya kujibu, kisiasa inatosha kumchapa nayo
Kine embe au?Nakumbuka kuna siku ulimkorofisha Pascal Mayalla kiasi cha kukuita jina fulani hivi linalo fanana na hili jina lako chinembe. Sasa naona ni kwa namna gani alikuwa sahihi.
sidhani kama kila kesi dpp anaweza ifuta,kama mahakama imeona wana kesi ya kujibu na imeridhika na maelezo ya upande wamashitaka kwanini dpp ameondoa kesi hiyo mahakamani ? Hili jambo ni baya hasa kwakuchafuana inabidi kina kibatara wafanye jambo ili kuwasafisha kina mbowe na iwe mwisho wakuonea watu''Vitabu vya sheria vimebaki na kumbukumbu moja, serikali ilithibitisha ugaidi wa Mbowe, akaonekana ana kesi ya kujibu, hivyo kutakiwa ajitetee.
Mbowe hana hukumu ya kurejea kumsafisha!! Serikali Ina hukumu ya kuonyesha ilithibitisha Mbowe gaidi na ana kesi ya kujibu
Vitabu vya sheria vimebaki na kumbukumbu moja, serikali ilithibitisha ugaidi wa Mbowe, akaonekana ana kesi ya kujibu, hivyo kutakiwa ajitetee.
Mbowe hana hukumu ya kurejea kumsafisha!! Serikali Ina hukumu ya kuonyesha ilithibitisha Mbowe gaidi na ana kesi ya kujibu
Nimeshangaa Samia amechezea mihimili yote tena wazi kweupe lakini kashangiliwa tu!sidhani kama kila kesi dpp anaweza ifuta,kama mahakama imeona wana kesi ya kujibu na imeridhika na maelezo ya upande wamashitaka kwanini dpp ameondoa kesi hiyo mahakamani ? Hili jambo ni baya hasa kwakuchafuana inabidi kina kibatara wafanye jambo ili kuwasafisha kina mbowe na iwe mwisho wakuonea watu''
chamsingi nikudai katiba tu! Kwa sasa watatoa uhuru wakufanya siasa nahapo ndipo chadema watumie mwanya huo.Nimeshangaa Samia amechezea mihimili yote tena wazi kweupe lakini kashangiliwa tu!
Nikajiuliza kwa staili hii kuna mtu atakuja kurudisha Rasimj ya pili ya Katiba? Leo tukimuuliza mzee Warioba, kwa mwenendo wa siasa za taifa lake anaona kuna mtu atakuja kurudisha ile Rasimj ya 2?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama ilithibitisha kwanini inaogopa watu wasijiteteeVitabu vya sheria vimebaki na kumbukumbu moja, serikali ilithibitisha ugaidi wa Mbowe, akaonekana ana kesi ya kujibu, hivyo kutakiwa ajitetee.
Mbowe hana hukumu ya kurejea kumsafisha!! Serikali Ina hukumu ya kuonyesha ilithibitisha Mbowe gaidi na ana kesi ya kujibu
Tatizo liko wapi...DPP ndio mwenye Mamlaka kisheria na ametumia sheriaVitabu vya sheria vimebaki na kumbukumbu moja, serikali ilithibitisha ugaidi wa Mbowe, akaonekana ana kesi ya kujibu, hivyo kutakiwa ajitetee.
Mbowe hana hukumu ya kurejea kumsafisha!! Serikali Ina hukumu ya kuonyesha ilithibitisha Mbowe gaidi na ana kesi ya kujibu
Kimsingi Mbowe kalishwa tango pori. Kama hajatambua hilo hastahili kuwa kiongozi wa chama cha Siasa. Hata jopo la mawakili wake ni zigo katika medani ya kisheria. Wanapaswa kuthibitisha, pasipo shaka, kuwa mashtaka dhidi ya mteja wao ni uwongo mtupu. Hivyo tungetegemea wangeweka pingamizi dhidi ya hiyo "nolle prosequi" (mashtaka kuondolewa) ya Serikali.Vitabu vya sheria vimebaki na kumbukumbu moja, serikali ilithibitisha ugaidi wa Mbowe, akaonekana ana kesi ya kujibu, hivyo kutakiwa ajitetee.
Mbowe hana hukumu ya kurejea kumsafisha!! Serikali Ina hukumu ya kuonyesha ilithibitisha Mbowe gaidi na ana kesi ya kujibu
Wangekuwa na haki hiyo kama wangeshinda kesiMbowe na makomandoo inabidi walipwe fidia kwa usumbufu waliopata!
Umeongea takataka tupu hapaKimsingi Mbowe kalishwa tango pori. Kama hajatambua hilo hastahili kuwa kiongozi wa chama cha Siasa. Hata jopo la mawakili wake ni zigo katika medani ya kisheria. Wanapaswa kuthibitisha, pasipo shaka, kuwa mashtaka dhidi ya mteja wao ni uwongo mtupu. Hivyo tungetegemea wangeweka pingamizi dhidi ya hiyo "nolle prosequi" (mashtaka kuondolewa) ya Serikali.
Hivyo basi, furaha, nderemo, na shangwe zinazoendelea kuhusu Mbowe kuwa huru (mawakili wake na wanachama wa CHADEMA) ni ushahidi kuwa mashtaka dhidi ya Mbowe na wenzake ni ya kweli.
Kwa hoja zangu hizo mshindi ni viongozi wa dini waliomwomba Rais amwondolee Mbowe mashtaka. Wakati Rais, kama M/kiti wa CCM, chama tawala, na Serikali yake amevuna imani ya WaTz, Mbowe bado anawajibika kuthibitisha kuwa hana hatia katika mashtaka dhidi yake.
Walipaswa kuweka pingamizi dhidi ya hiyo "nolle prosequi", kama walivyokuwa wanafanya wakati kesi ikiendelea. Kutokufanya hivyo kunamwacha Mbowe na tuhuma dhidi yake maana tayari ushahidi uliotolewa mahakamani umethibitisha alikuwa na kesi ya kujibusidhani kama kila kesi dpp anaweza ifuta,kama mahakama imeona wana kesi ya kujibu na imeridhika na maelezo ya upande wamashitaka kwanini dpp ameondoa kesi hiyo mahakamani ? Hili jambo ni baya hasa kwakuchafuana inabidi kina kibatara wafanye jambo ili kuwasafisha kina mbowe na iwe mwisho wakuonea watu''
Je, ana uthibitisho gani kuwa hana hatia katika mashtaka dhidi yake?Umeongea takataka tupu hapa
Everyone is innocent until proven guilty.
Hakuna kitabu kitakachoandika Mbowe ni gaidi. Wewe jifurahishe tu.