ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Ndugu, hakuna haja ya kutumia muda mwingi kupayuka saana juu ya hili.Ushahidi ulitosha na mahakama ikaamua Mbowe ana kesi ya kujibu, uamuzi huo upo, haujakatiwa rufaa, Mbowe alifanya vitendo vya ugaidi, kwa nini mawakili wa Mbowe hawakupinga kesi isiondolewe ili ajitetee? Walikubali fasta, walijua mziki ni mzito
Kama kweli wewe waamini hivyo, basi yafaa utumie busara na hekima zako kama mwananachi mTanzania wa kweli, kwa kutumia haki zako kwa mujibu wa katiba/sheria za nchi ili kulifikisha kwenye mwisho unaoutamani.
Hivyo basi kajipange na wenzio mwende na ushahidi na nyenzo zote za kisheria mlizonazo mfungue kesi YENU mahakamani. AMEN.