Kama ana hatia kwanini asingehukumiwa? Kuna haja gani ya kusikiliza utetezi? Kumbuka katika kuamua kama mtuhumiwa ana kesi ya kujibu au la.....haiangaliwi uzito wa ushahidi uliotetwa...ila, viashilia vya kosa kufanyika
Vitabu vya sheria vimebaki na kumbukumbu moja, serikali ilithibitisha ugaidi wa Mbowe, akaonekana ana kesi ya kujibu, hivyo kutakiwa ajitetee.
Mbowe hana hukumu ya kurejea kumsafisha!! Serikali Ina hukumu ya kuonyesha ilithibitisha Mbowe gaidi na ana kesi ya kujibu