Kesi ya Mbowe: "Mahakamani si kwa Mama zetu"


Naunga mkono hoja:

"Kumfunga mtu maisha ama kumnyonga bila hatia hilo halitawezekana milele..Yesu ama Mtume Mohamad atatukuta vitani...enough is enough."
 
Aiseeee kama yule Matata daaah jamaa anapangua hoja ni hatari..
Na tatizo wale wanajua kiapo chao hawaongeki, SSH jipange siku ya siku kusimama kizimbani tutataka kujua yale uliyo yasema bbc kwamba wenzake na Mbowe walishafungwa KWa ugaidi yalitoka wapi? , Na kizimbani pale hakuna urais unauvua then ukitoka unavaa ,hii kesi serikali mtajuta na KWa faida YENU jua wakili wa kimataifa ,vyovyote mtakavyo muita alisha jiunga na jopo la utetezi ,so.

Kingai, IGP jipangeni Kesho YENU ni ngum sana ,naishia apo
 
Nimekusoma vyema sana.

Pasiwe na mipaka ya kuzuia HAKI za watuhumiwa kwa kisingizio cha aina yoyote.
 

Weka akiba ya maneno. Ni hilo tu!
 
Najua jaji tiganga uko humu au wapambe wako wapo humuu.nakukumbusha ukumbuke ulikotokea, tuliishi vizuri na wewe huku kawe wakati ukiwa bado nimwanajeshi.

Wakati unapambana kuunga unga upate nafasi ya kuendelea na masomo. Tuna kumbuka kila madhaifu yako ya kibinadamu kwa majirani zako na wake zao,Tuna kumbuka vizuriiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Weka nyama kidogo zaidi mkuu. Jaji anasema mmeniacha hapo:

Nini PPR?
Prisoner's Property Receipt (PPR) - hii ni karatasi anayopewa mtuhumiwa anapowekwa mahabusu ikiorodhesha Mali zake binafsi mfano; fedha, saa, mkanda nk. Huwezi kuwekwa mahabusu bila kupewa hii karatasi na ukitoka unapewa na kuisaini kwa nyuma kwamba umerudishiwa Mali zako. Hii hawawezi kuifoji maana ina saini ya mtuhumiwa mwenyewe(dole gumba).
 
Na itakuwa funzo kwao na mijinga mingine kutojiingiza kwenye upumbavu katika dunia hii ya utandawazi.
 
Naomba kujua endapo Jamuhuri ikishidwa kuthibitisha ugaidi wa kina Mbowe ,mbali kuaachiwa huru na mahakama, kina Mbowe wanaweza kudai damage?
umesikia juzi sijui Jana waziri mwenye dhamana anakataa mambo ya fidia hata kama ulifungwa kimakosa
 
Wakitoa hivyo vitu kesi hamna.
 

Haki zikiwamo za kina Lijenje, Urio na wote wadhulumiwao na kina Sirro, Majaliwa, Hangaya na taasisi zao zitapatikana kwa juhudi zetu. Si kwa mchango wowote kutoka kwao.

WS Chavula anadai mahabusu hana haki zozote.

Hayakubaliki.

Muda wa kuyarekebisha yote haya umefika.
 
Wakitoa hivyo vitu kesi hamna.
Cha kwanza ni barua kuingia mahakamani. Ikiingia tu "asitake atake" awaye yote tunampa 5 mingine 😁😁.

DR yao siku ya kwanza ilikataliwa lakini wakairejesha mlango wa nyuma. Hapa napo mwendo mdundo.

Wakiikataa kwa Ling'wenya, kitaumana kwa Adamoo au kwa shemeji Lilian.

Kama DR barua kwa RPC Ilala mlango ule ule uliotumika.
 
Eeeenhh bwana hili faili la moto vibaya kuliko mahakama kuwa si mama zetu
 

Mkuu hizi acronyms huwa haziishiwi mambo. Si unakumbuka ile ya JPM na Lissu Mahakamani?

JPM - Rais Magufuli

Jiwe mwenyewe akaiipata live bila chenga, mahakama ikakubaliana na wakili msomi Lissu 😁😁.

https://www.facebook.com/
Hiiiiii bagosha!
 
Muulize Mbowe kama yuko tayari- rekodi za Tigo tu mmeanzisha kampeni ya kususia Tigo. Mbowe acha kuwa Gaidi tu ni MCHAFU KULIKO MAELEZO
 
Kwanza hawakuitegemea naona wanatetea kwa hisia pasipo kuweka vifungu vya sheria.Kazi ipo jaji anawaambia usirudie aliyosema mwanzako umenielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…