- Thread starter
- #41
CCM inawaona watanzania wote ni mafala..hawajui lolote juu ya haki na sheria za nchi. .ogopa sana mtu anayebakia kimya...
Maamuzi ya kesi ndiyo itaamua hatma ya Tanzania mpya..
Kesi inawagusa watanzania wengi hata wasio wanachama wa chama chochote, wao ccm wanafikiri wanaikoma CDM..mlio karibu nao wapeni ushauri mapema.
Kumfunga mtu maisha ama kumnyonga bila hatia hilo halitawezekana milele..Yesu ama Mtume Mohamad atatukuta vitani...enough is enough.
Its only justice will save this nation kwa kesi hii.
Naunga mkono hoja:
"Kumfunga mtu maisha ama kumnyonga bila hatia hilo halitawezekana milele..Yesu ama Mtume Mohamad atatukuta vitani...enough is enough."