Kesi ya Mbowe: "Mahakamani si kwa Mama zetu"

CCM inawaona watanzania wote ni mafala..hawajui lolote juu ya haki na sheria za nchi. .ogopa sana mtu anayebakia kimya...

Maamuzi ya kesi ndiyo itaamua hatma ya Tanzania mpya..

Kesi inawagusa watanzania wengi hata wasio wanachama wa chama chochote, wao ccm wanafikiri wanaikoma CDM..mlio karibu nao wapeni ushauri mapema.

Kumfunga mtu maisha ama kumnyonga bila hatia hilo halitawezekana milele..Yesu ama Mtume Mohamad atatukuta vitani...enough is enough.

Its only justice will save this nation kwa kesi hii.

Naunga mkono hoja:

"Kumfunga mtu maisha ama kumnyonga bila hatia hilo halitawezekana milele..Yesu ama Mtume Mohamad atatukuta vitani...enough is enough."
 
Aiseeee kama yule Matata daaah jamaa anapangua hoja ni hatari..
Na tatizo wale wanajua kiapo chao hawaongeki, SSH jipange siku ya siku kusimama kizimbani tutataka kujua yale uliyo yasema bbc kwamba wenzake na Mbowe walishafungwa KWa ugaidi yalitoka wapi? , Na kizimbani pale hakuna urais unauvua then ukitoka unavaa ,hii kesi serikali mtajuta na KWa faida YENU jua wakili wa kimataifa ,vyovyote mtakavyo muita alisha jiunga na jopo la utetezi ,so.

Kingai, IGP jipangeni Kesho YENU ni ngum sana ,naishia apo
 
Barua hii kumhusu Komando Ling'wenya itakuwa imeutafsiri uwanja mzima rasmi kabisa kwa jinsi ulivyo.

Hakuna kisichofahamika tena. Hii ni vita kamili.

Vita vya haki dhidi ya dhuluma. Vita vya wanaoyathamini maisha ya akina Luteni Urio, Moses Lijenje na wenzao, dhidi ya wabinafsi waliopitiliza.

"Vita ni vita Mura!"

Tumesikia "mahakamani si kwa mama zetu." Bila shaka "mahakamani ni kwa mama zao." Wao kumbe pia ni mawakili wa mahakama.

Zimeombwa tu, Movement Order (MO), Station Diary (SD) na Occurrence Book (OB) kwa ajili ya kumkagua D/C Msemwa. kimeumana! Hakuna kuwaachia hawa.

"Waombeni pia na ma CCTV recordings njia yote RAU - Moshi - Arusha - Dar - Mbweni. Pia data kama hizo tokea makampuni ya simu."

Ipelekwe miito ya kuwaita wote na vyote vinavyoweza kusaidia kuthibitisha lolote. Asiachwe mtu au kitu tafadhali.

Iwe ni Hangaya, Sirro, Urio, Ahadi, Chungulu, Sabaya, Lijenje, nk. Tuonane Kizimbani. Vigezo na masharti yakizingatiwa.

Wanahofia nini nyendo za D/C Msemwa kuhakikiwa?

Si kwa sababu kuwa: "the guilty are always afraid?"

--------
Kesi ya Mbowe: Kwa minajili ya haki Mbivu na Mbichi zote zianikwe
Nimekusoma vyema sana.

Pasiwe na mipaka ya kuzuia HAKI za watuhumiwa kwa kisingizio cha aina yoyote.
 
Hiyo barua ikipokelewa kesi ndo basi tena, katika lugha ya mpira tunasema wa mefungwa hatrick, hapo Jaji anapambana ili asiipokee hiyo barua, kwa kuwapa mawakili wa mshitaka mda kutoa hoja , ila wanatoa maoni bila vifungo vya sheria, ila sijui itakua je kama jaji ni kwaibika ni hapo hapo kwenye hiyo barua.......mashahidi wao wengi walushajikanyaga kwa kusema uongo ukileta MO SD na CD vitagongana ile hatari bora wakatae hiyo barua mapema Chavula kasha chemka kaanza kua emotional kasha zidiwa eti yeye ni mtetezi wa mahakama, na ameanza misemo ya kihuni eti mahakama sio mama ako......

Weka akiba ya maneno. Ni hilo tu!
 
Najua jaji tiganga uko humu au wapambe wako wapo humuu.nakukumbusha ukumbuke ulikotokea, tuliishi vizuri na wewe huku kawe wakati ukiwa bado nimwanajeshi.

Wakati unapambana kuunga unga upate nafasi ya kuendelea na masomo. Tuna kumbuka kila madhaifu yako ya kibinadamu kwa majirani zako na wake zao,Tuna kumbuka vizuriiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Weka nyama kidogo zaidi mkuu. Jaji anasema mmeniacha hapo:

Nini PPR?
Prisoner's Property Receipt (PPR) - hii ni karatasi anayopewa mtuhumiwa anapowekwa mahabusu ikiorodhesha Mali zake binafsi mfano; fedha, saa, mkanda nk. Huwezi kuwekwa mahabusu bila kupewa hii karatasi na ukitoka unapewa na kuisaini kwa nyuma kwamba umerudishiwa Mali zako. Hii hawawezi kuifoji maana ina saini ya mtuhumiwa mwenyewe(dole gumba).
 
Si tu haki itendeke, Bali lazima ionekane imetendeka;
1.Ipatikane print out ya mwenendo wa simu za Kingai, Jumanne, Mahita na Msemwa tarehe 05-10/08/2020.
2.CCTV footage za pale central DSM Kwa tarehe hizo hapo juu.
3.Duty roster, OB, RB, PPR na MO za central Kwa tarehe hizo.
Na itakuwa funzo kwao na mijinga mingine kutojiingiza kwenye upumbavu katika dunia hii ya utandawazi.
 
Kuna vitu vinauma sana

Na bado mtu anadiriki kutamka haya na bila aibu:

IMG_20211126_221549_007.jpg
 
Naomba kujua endapo Jamuhuri ikishidwa kuthibitisha ugaidi wa kina Mbowe ,mbali kuaachiwa huru na mahakama, kina Mbowe wanaweza kudai damage?
umesikia juzi sijui Jana waziri mwenye dhamana anakataa mambo ya fidia hata kama ulifungwa kimakosa
 
Si tu haki itendeke, Bali lazima ionekane imetendeka;
1.Ipatikane print out ya mwenendo wa simu za Kingai, Jumanne, Mahita na Msemwa tarehe 05-10/08/2020.
2.CCTV footage za pale central DSM Kwa tarehe hizo hapo juu.
3.Duty roster, OB, RB, PPR na MO za central Kwa tarehe hizo.
Wakitoa hivyo vitu kesi hamna.
 
Prisoner's Property Receipt (PPR) - hii ni karatasi anayopewa mtuhumiwa anapowekwa mahabusu ikiorodhesha Mali zake binafsi mfano; fedha, saa, mkanda nk. Huwezi kuwekwa mahabusu bila kupewa hii karatasi na ukitoka unapewa na kuisaini kwa nyuma kwamba umerudishiwa Mali zako. Hii hawawezi kuifoji maana ina saini ya mtuhumiwa mwenyewe(dole gumba).

Haki zikiwamo za kina Lijenje, Urio na wote wadhulumiwao na kina Sirro, Majaliwa, Hangaya na taasisi zao zitapatikana kwa juhudi zetu. Si kwa mchango wowote kutoka kwao.

WS Chavula anadai mahabusu hana haki zozote.

Hayakubaliki.

Muda wa kuyarekebisha yote haya umefika.
 
Wakitoa hivyo vitu kesi hamna.
Cha kwanza ni barua kuingia mahakamani. Ikiingia tu "asitake atake" awaye yote tunampa 5 mingine 😁😁.

DR yao siku ya kwanza ilikataliwa lakini wakairejesha mlango wa nyuma. Hapa napo mwendo mdundo.

Wakiikataa kwa Ling'wenya, kitaumana kwa Adamoo au kwa shemeji Lilian.

Kama DR barua kwa RPC Ilala mlango ule ule uliotumika.
 
Najua jaji tiganga uko humu au wapambe wako wapo humuu.nakukumbusha ukumbuke ulikotokea, tuliishi vizuri na wewe huku kawe wakati ukiwa bado nimwanajeshi.

Wakati unapambana kuunga unga upate nafasi ya kuendelea na masomo. Tuna kumbuka kila madhaifu yako ya kibinadamu kwa majirani zako na wake zao,Tuna kumbuka vizuriiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Eeeenhh bwana hili faili la moto vibaya kuliko mahakama kuwa si mama zetu
 
Prisoner's Property Receipt (PPR) - hii ni karatasi anayopewa mtuhumiwa anapowekwa mahabusu ikiorodhesha Mali zake binafsi mfano; fedha, saa, mkanda nk. Huwezi kuwekwa mahabusu bila kupewa hii karatasi na ukitoka unapewa na kuisaini kwa nyuma kwamba umerudishiwa Mali zako. Hii hawawezi kuifoji maana ina saini ya mtuhumiwa mwenyewe(dole gumba).

Mkuu hizi acronyms huwa haziishiwi mambo. Si unakumbuka ile ya JPM na Lissu Mahakamani?

JPM - Rais Magufuli

Jiwe mwenyewe akaiipata live bila chenga, mahakama ikakubaliana na wakili msomi Lissu 😁😁.

Hiiiiii bagosha!
 
Barua hii kumhusu Komando Ling'wenya itakuwa imeutafsiri uwanja mzima rasmi kabisa kwa jinsi ulivyo.

Hakuna kisichofahamika tena. Hii ni vita kamili.

Vita vya haki dhidi ya dhuluma. Vita vya wanaoyathamini maisha ya akina Luteni Urio, Moses Lijenje na wenzao, dhidi ya wabinafsi waliopitiliza.

"Vita ni vita Mura!"

Tumesikia "mahakamani si kwa mama zetu." Bila shaka "mahakamani ni kwa mama zao." Wao kumbe pia ni mawakili wa mahakama.

Zimeombwa tu, Movement Order (MO), Station Diary (SD) na Occurrence Book (OB) kwa ajili ya kumkagua D/C Msemwa. kimeumana! Hakuna kuwaachia hawa.

"Waombeni pia na ma CCTV recordings njia yote RAU - Moshi - Arusha - Dar - Mbweni. Pia data kama hizo tokea makampuni ya simu."

Ipelekwe miito ya kuwaita wote na vyote vinavyoweza kusaidia kuthibitisha lolote. Asiachwe mtu au kitu tafadhali.

Iwe ni Hangaya, Sirro, Urio, Ahadi, Chungulu, Sabaya, Lijenje, nk. Tuonane Kizimbani. Vigezo na masharti yakizingatiwa.

Wanahofia nini nyendo za D/C Msemwa kuhakikiwa?

Si kwa sababu kuwa: "the guilty are always afraid?"

--------
Kesi ya Mbowe: Kwa minajili ya haki Mbivu na Mbichi zote zianikwe
Muulize Mbowe kama yuko tayari- rekodi za Tigo tu mmeanzisha kampeni ya kususia Tigo. Mbowe acha kuwa Gaidi tu ni MCHAFU KULIKO MAELEZO
 
Cha kwanza ni barua kuingia mahakamani. Ikiingia tu "asitake atake" awaye yote tunampa 5 mingine 😁😁.

DR yao siku ya kwanza ilikataliwa lakini wakairejesha mlango wa nyuma. Hapa napo mwendo mdundo.

Wakiikataa kwa Ling'wenya, kitaumana kwa Adamoo au kwa shemeji Lilian.

Kama DR barua kwa RPC Ilala mlango ule ule uliotumika.
Kwanza hawakuitegemea naona wanatetea kwa hisia pasipo kuweka vifungu vya sheria.Kazi ipo jaji anawaambia usirudie aliyosema mwanzako umenielewa.
 
Back
Top Bottom