Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa
Huo ni ujinga wako uliopo kichwani mwako. Hao majaji wanatumia Sheria walizo zisoma ktk vitabu na zingine zipo mitandaoni. Ukitoa taarifa ya kesi au kuichambua kulingana na ukweli haizui jaji kutoa hukumu kulingana naushahidi ulio tolewa Mahakamani.

Hapo utakuwa umemsaidia jaji kupata ushahidi ili atoe hukumu ya haki. Zipo kesi nyingi duniani zinarushwa LIVE ktk runinga ili watu wasio weza kufika Mahakamani waweze kujua mwenendo wake.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Mchuma janga hula na wa kwao
Pole kwa mwanamke mwenzangu Lilian na familiay
 
Serikali Ime~Punic
Yaani Hapo Sasa Hivi Chumvi Chumvi

Serikali Inakwama Wapi
 
Tulieni dawa iwaingie bavicha
Wanataka wamhukumu mtu kwa siri? Nini kiko nyuma ya pazia mpaka wanazuia watu kuingia ndani kusikiliza kesi?

Watu mnashangilia ukiukwaji wa utaratibu, hii dunia hamtaishi milele, tujitahidi kujenga misingi ya haki, kesho mwanao litampata jambo wakati wewe ukiwa nje ya system ndo utajua umuhimu wa haki
 
Ugumu ni kwenye kutenganisha ili kuelewa ya kuwa mh raisi anahujumiwa kutokana na jinsi nchi inavyoendesha ili wamchonganishe na wananchi? au anawashauri wabovu mno wa siasa na uchumi.

Ata kwa uelewa mdogo wa sheria jinai yoyote bila ya ushahidi wa matendo na vitendea kazi ni ngumu sana kuthibitisha mahakamani, hao watu walisha shauriwa vya kutosha kuachana na hiyo kesi awawezi shinda zaidi ya kumchafua mama.

Jana nikasema nichungulie kwenye social media posts za watu walioweka ‘tunakwenda na mama 2025’ dah ata critic mimi ilibidi niingiwe na huruma kwa mama. Kuna mmoja kaandika ‘kudra za mwenyez mungu mwisho 2025, baada ya hapo tunataka mtu mwenye uwezo’.

Mama anahitaji ‘charm offensive tour’ haraka sana to win support ya wananchi popularity yake ipo chini sana, na hii case ya Mbowe is not in her favour kabisa.
 
Jamani waturuhusu tuingie. Mimi nataka nione afande wangu Kingai anavyomkaaanga Kibatala man to man.
 
Natamani Mungu apukutishe kwa vifo watu mfululizo kama miezi kadhaa ilopita mpaka naniliu
 
Bwashee masuala ya tehama na wizara ya nishati wapi na wapi?
 
Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa
Unachokatazwa ni simu kuita, simu hivi sasa ni kompyuta mpakato, sasa kama kompyuta inatumika ndani ya mahakama kwanini simu isitumike!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…