Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kupitia maria space?Hakuna dawa hapo chupi za watu zimelowa chepechepe.
Hatutaki ukhanithi this time.
Mtu yuko ndani mwezi wa pili huu alafu unajimwambafai hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupitia maria space?Hakuna dawa hapo chupi za watu zimelowa chepechepe.
Hatutaki ukhanithi this time.
Huo ni ujinga wako uliopo kichwani mwako. Hao majaji wanatumia Sheria walizo zisoma ktk vitabu na zingine zipo mitandaoni. Ukitoa taarifa ya kesi au kuichambua kulingana na ukweli haizui jaji kutoa hukumu kulingana naushahidi ulio tolewa Mahakamani.Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa
2025 CCM LAZIMA out.Tulieni dawa iwaingie bavicha
Kumbe ni bavicha tena ama kweli akili ni nywele nawe unazakoTulieni dawa iwaingie bavicha
Wanataka wamhukumu mtu kwa siri? Nini kiko nyuma ya pazia mpaka wanazuia watu kuingia ndani kusikiliza kesi?Tulieni dawa iwaingie bavicha
Nadhani wameanza kutekeleza kile walichojifunza Rwanda.TZ tuna safari ndefu sana, Kenya case zinasikilizwa Live!
Mimi sio Mchaga.Kunywa mtori bwashee nyama utazikuta siku ya hukumu!
Bwashee masuala ya tehama na wizara ya nishati wapi na wapi?Juzi nilimsikia Jaji mkuu Prof Juma akimuomba waziri mpya wa Nishati aisaidie mahakama kufanikisha lengo lao la kutumia mifumo ya tehama katika kuendesha kesi.
Nadhani tungeanza na kuonyesha kesi ya ugaidi ya Mbowe luningani.
Maendeleo hayana vyama!
Unachokatazwa ni simu kuita, simu hivi sasa ni kompyuta mpakato, sasa kama kompyuta inatumika ndani ya mahakama kwanini simu isitumike!Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa
tumemtaka aweke kifungu kakimbia