Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
[emoji23][emoji23][emoji23]Hizi haisira zako kazioneshe pale mahakamaniNasikia unauza papa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hizi haisira zako kazioneshe pale mahakamaniNasikia unauza papa?
mbowe analiwa kicha asubuhi tu mapeeeemaaaWanadhani watajificha ktk ulimwengu wa sayansi na teknolojia Kama sio ujinga nini?
Tena kwa taarifa yao wao wenyewe Polisi au Mahakama ndio watakao tupa habari.
Muda ni mwalimu mzuri.
RIP kamanda Hamza
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Mwenzio aliyesema hivyo yupo kaburini anakula kichapo, huku akimuacha mbowe bado anatesamwisho wa mbowe ni huu hamuwezi kushindana na huu ushahidi unamfunga mbowe ni gaidi
Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosaFreeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku...
CCM wote mmekua na tabia za kike mnaogopa-ogopa kama wa kike.Ni jambo jema!
Mbowe ni Kiongozi mkubwa ulinzi lazima uimarishwe.
mwenyekiti wako wa CCM amekuambukiza umama.Si mna Maria space na HC?
weka kifungu cha sheria/kanuniKisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa
Nimeusikia ujumbe wako Iboyamlifikirimmahakamani ni sehemu ya kwenda kudemka kisiasa ? tulieni hivyohivyo mvua zinamuhusu gaidi mbowe
Tulia bavichamwenyekiti wako wa CCM amekuambukiza umama.
Weka kwanza kifungu kinachokupa uhalali wako wa kuingia na simu ndipo uadhiriwe peupeweka kifungu cha sheria/kanuni