Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept
242015901_892482138055496_1856817538017356158_n.jpg
 
Jamaa wanaogopa aibu, as long as walishayavulia maji nguo lazima wayaoge tu. Kuanza kuwaogopa watanzania wasio na silaha walioamua kuhudhuria mahakamani kwa mapenzi yao ni jambo la kushangaza sana.
 
Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa
Sheria ipi wewe au unabwabwaja tu.
 
aisee..... yaani jeshi linafanya kazi bila vifungu cha sheria bila kujua kwamba ukiwa mahakamani ukitoa kauli lazima uisindikizie na sheria. kazi ipo tena pevu.
Wamezoea kufanya ubabe wao kila mahali sasa wamwekewa breki
 
D
Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku...
Duuh
 
1631804134519.jpeg



Kesi ya mbowe na hao wanaosema ni magaidi inaushahidi wa kijinga kiasi kwamba Watanzania watajua je tuna Muhula wa mahakama au umegeuzwa wote kuwa sisasa. Lakini ni Judge gani mkuu ambaye mahakama itakuwa imekufa mikononi mwake!. Judge mkuu naye yupo kwenye kesi hii kwa namna hii
 
Back
Top Bottom