Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept
Wenzako walipotakiwa kuonesha hiyo sheria mahakamani walishindwa wewe bado unsng'ang'ania matakwa ya CCM!
Sio matakwa ya CCM ni sheria hiyo, tulia vizuri upate tafsiri iliyo sahihi

Sina nasaba na hao watu waovu

Penal Code Cap 16 RE2019 section 114 (c) & (d)
 
Back
Top Bottom