Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

... hilo la madawa ya kulevya kutajwa leo limeshangaza sana! Itakuwa amepitiwa tu pengine walishakubaliana wasiliingize kwenye charge sheet ila leo amejisahau walikubaliana hivyo mitaa ya Lumumba!
 
RCO Arusha unapigiwa simu kuwa kuna njama za kiahalifu zinafanyika mkoa wa Kilimanjaro unaenda kuchunguza je una jurisdiction gani mkoa wa Kilimanjaro? Hakuna RPC na RCO mkoa wa Kilimanjaro?
Hili nalo neno! Hivi inawezekana RCO wa mkoa mwingine kwenda kukamatwa mhalifu mkoa mwingine? Jaji angeifuta tu hii kesi, kupotezea watu muda wao tu!
 
Ukishaona vyombo vya habari vinajaza habari za umbea kuliko habari za kiuchunguzi hapo kuna walakini ie katika issue ya Bwn Hamza kungekua na vyombo vya habari makini wao wangekuja na habari ya kiuchunguzi ili kurectify taarifa ya uchunguzi ya polisi ili kuwepo kwa mizani ya suala zima la ugaidi la bwana Hamza
 
Wewe ni Joyce Mkuya uliyeumia baada ya kukosa ubunge wa viti maalum.

Haiwezekani kila alipo mbowe na wewe upo
Haha kale kademu kana kelele sana humu jf

USSR
 
Hii kesi itafunua madhaifu mengi ya jeshi letu la polisi. Huyo Kingai ukumwambia Lissu anajiita lazima akimbie kujificha mana aliwahi kumkaanga kama samaki kwenye cross-examination.
 
Cooking case. Fake maelezo yaani utoke Moshi uje uitwe Dar? Nchi inaenda kuaibika kwa ujinga wa hawa vilaza polisi. Wanaliingiza jeshi kwenye ujinga wa siasa.
Napata picha kwanini Yule Jaji wa mwanzo alijiondoa. Hii maana yake aliwapa muda wakajipange warudi upya. Sasa wamekuja na aibu ya mwaka. Kweli njia ya mwongo ni fupi.
 
Luteni kanal umesoma wapi umeambiwa luteni huyu luteni ni MI pale TPDF .mbowe kakamatwa haki ya Mungu anakula mvua

USSR
 
Mwambieni Mbowe aombe msamaha kwa mke wake. Miaka yote anamcheat mkewe na wanawake wa viti maalum mpaka kuzaa nao. Mungu hafurahi. Ndo maana anapatwa na haya. Walau Lilian ana uhakika mmewe alipo (Jela).Mbowe hapa hachomoki.
 
Ili kuokoa muda na gharama wampige maisha tu tuishi kwa amani, mbona yule mwingine walimrip dasta tu? Hakuna kubembeleza hawa watu fyekelea mbali
 
KIBWAGIZO;
Shahidi wa Jamhuri, ACP Kingai anasema washtakiwa walikutwa na bastola na Risasi 3. Hati ya mashtaka inasema ni risasi 1 na bastola 1. OK!

Kingai anasema aliwakuta na kete 58+25=83 za dawa za kulevya aina ya Heroine. Lakini vyote hivyo havipo kwenye hati ya mashtaka!!
 
Mwambieni Mbowe aombe msamaha kwa mke wake. Miaka yote anamcheat mkewe na wanawake wa viti maalum mpaka kuzaa nao. Mungu hafurahi. Ndo maana anapatwa na haya. Walau Lilian ana uhakika mmewe alipo (Jela).Mbowe hapa hachomoki.
Kwani mke wake ndio amecheza hii movie?
 
Mwambieni Mbowe aombe msamaha kwa mke wake. Miaka yote anamcheat mkewe na wanawake wa viti maalum mpaka kuzaa nao. Mungu hafurahi. Ndo maana anapatwa na haya. Walau Lilian ana uhakika mmewe alipo (Jela).Mbowe hapa hachomoki.
Tuseme wewe hujawai kuliwa namidume tofauti? Hivi unavyoonekana kuwashwa na akili huna kweli usimegwemegwe we we labda siowewe!!
Kesi haihusiani na mapenzi,tumia akili ata za wengine kama huna!!usimwongelee mke wamtu na hajakutuma. Hii kesi inamaslahi kimataifa usijadili kikiherehere
 
... labda kwa shauri lililoko mahakamani (ugaidi na uhujumu uchumi) madawa ya kulevya waliyokutwa nayo sio vitu muhimu kama ushahidi kwenye shauri hili ndio maana mawakili wasomi ma-genius wa serkali na ofisi nzima ya DCI sijui DPP hawakuviweka kwenye charge sheet! Itakuwa Afande (shahidi) alijisahau tu kuvitaja kwa kwenye kikao chao cha siri walikubaliana madawa ya kulevya yasitajwe! Ha ha ha!
 
Alisema hao washtakiwa wenzie na mbowe walishahukumiwa
Kumbe kesi ndio kwanza inapamba moto
Hii kesi nimeipenda bure,inakuja kuidhalilisha CCM, Serikali na Jeshi la Polisi mbele ya dunia. Yaani ni Utopolo mtupu. CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…