Kesi ya Mbowe Novemba 4, 2021: Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe atoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Novemba 5, 2021

hawa askari walikuwa wanatunga hadithi ambayo ilikosa uhariri......project ya hovyo kabisa....kibaya sana WANACHEZEA FEDHA ZA WANANCHI WAZI WAZI.....TUNAKATWA MITOZO wanachezea fedha kulipana lipana kwenye kesi ya maigizo
Aibu kubwa mno tunapata mpaka kwa wafadhili ambao daily wanatuma wawakilishi wao
 
Wamfunge tu mbona ushahidi wa jamhuru umeenyooka hivyo. Kuliko hata ule wa Sabaya wa kuunga unga naa gundi. Kama hii kesi ni ya uwongo niamini kesi ya namna gani. Technologia aidanganyi bhana

Mnasumbua tu mahakana
Wengine tunajiheshimu. Usitukasirishe. Kama unakereka kufuatikia acha
 
Khaaa! Ina maana wakili wa tigo ndio kaumwa mazima haji kuendelea kutoa ushahidi?

Maana naona kuna mtu mpya hapa
Yule sio kwamba alimaliza? Wa jana alitakiwa awe mpya.
 
Wamfunge tu mbona ushahidi wa jamhuru umeenyooka hivyo. Kuliko hata ule wa Sabaya wa kuunga unga naa gundi. Kama hii kesi ni ya uwongo niamini kesi ya namna gani. Technologia aidanganyi bhana

Mnasumbua tu mahakana
Kwahiyo mbowe amekudhuru nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…