Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Aibu kubwa mno tunapata mpaka kwa wafadhili ambao daily wanatuma wawakilishi waohawa askari walikuwa wanatunga hadithi ambayo ilikosa uhariri......project ya hovyo kabisa....kibaya sana WANACHEZEA FEDHA ZA WANANCHI WAZI WAZI.....TUNAKATWA MITOZO wanachezea fedha kulipana lipana kwenye kesi ya maigizo