Kesi ya Mbowe: Shahidi #5 ana nini kipya?

Uyu mhuni Kama wahuni wengine, nimeamini watu wengi wapo Magerezani sio KWa kua ni wahalifu bali tokana sarakasi za watu, kesi hii imetufumbua macho Sana aisee
 
Pumbavu mkubwa. Mbowe alishambuliwa?

Mtu ukiwa Hospital huwezi kufanya miamala? Mpuuzi mkubwa. Pumbavu.
ACHA matusi wewe mtu anaugulia MAUMIVU alafu awe katika arakati za kufanya UGAIDI, ok ata Kama akifanya miamala so what ? Unampangia mtu matumizi ya pesa amtumie nani, ? Kama alituma unajua ilikua KWa sababu zip?

Matusi Kama yote inakusadia nini, huna adabu na laana iwe juu yako
 

Dalili ya kukosa hoja. Timu yao nzima ime retreat mashimoni:



Kwa hakika penye ukweli, uongo hujitenga kama mafuta na maji tu.
 
Dalili ya kukosa hoja. Timu yao nzima ime retreat mashimoni:

View attachment 1996615

Kwa hakika penye ukweli, uongo hujitenga kama mafuta na maji tu.
Mie mkuu huwa na shangaa ,kwani mtu akijibu hoja hawezi kueleweka, ? matusi yanasaidia nini ? ccm ina vijana wa ajabu Sana japo sio wote

Kuna Watu nawapenda Sana pamoja na kuwa na mtazamo tofauti wa kisiasa mfano MAMA D ,nampenda Sana sijui ameolewa na Kama bado naomba connection , lakin awe tiyari kuamia Chadema
Ukiona wako kimya hivyo ujue ndiyo kuumbuka kwenyewe.

Uzuri wanajua we are not stupid.
 

Nakubaliana na wewe mama D ni people. Unakwitwa huku upokee pongezi zako dada.

johnthebaptist taabu yake huwa dishi kuyumba yumba. Ila siku moja moja naye huwa wamo.

Jumbe Brown huyu yeye uchawa. Kwa maana huyu sasa ni chawa wa kutupwa, ila ustaarabu anao. Si haba

Kazi ni hizo mburumundu zingine 😁😁.
 

Jamani asante sana 4 7mbatizaji nakupenda pia maana wewe mtu una akili za moyoni na kichwani pia kwenye mijadala.
Halafu mimi niko huru ujue!? Naweza kuwa kwenye chama chochote kama mtanzania ila ni kwamba tuu, sijapata ushawishi bado☺☺
 
brazaj,
Nilikuwa nakutafuta sana unisaidie kitu kimoja ambacho sijakisikia Jana kwa mawakili wa utetezi nadhani wamespare mpaka majumuisho yao.
Hivi kwenye caution statement ya Kasekwa ambayo Polisi wanaitegemea kuliko kitu chochote kuna muamala wa 500,000/-?
 

Huu ni mnyororo ule ule:

Mwenye kesi (tssi), polisi (tssi), magereza (tssi), jaji (tssi), shahidi (tssi).

Kama CCM siyo adui, mchawi wetu ni nani?

Hao ndiyo wenye kesi.

Kesi ya ngedere kula mahindi iko kwa hakimu nyani.

Bila shaka Jaji Siyani anafuatilia baraka zake.
 

Bro brazaj j mwenyewe huyoπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Nachelea sana kuingiza "hisia" na "ushabiki koko" kwa kinachoendelea mahakamani....🀣
 
Nachelea sana kuingiza "hisia" na "View attachment 1996637ushabiki koko" kwa kinachoendelea mahakamani....🀣

Chawa ni sifa siyo tusi mkuu. Ni katika kutambua tu jitihada zako za kuunga mkono yote ya mama and unconditionally. Zikiwamo hizi:



Hata kama ni kwa kurambwa bakora kila asubuhi ikibidi 😁😁.

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Jamani asante sana 4 7mbatizaji nakupenda pia maana wewe mtu una akili za moyoni na kichwani pia kwenye mijadala.
Halafu mimi niko huru ujue!? Naweza kuwa kwenye chama chochote kama mtanzania ila ni kwamba tuu, sijapata ushawishi bado☺☺
Barikiwa Sana mkuu
 

Ulikuwa wanitafutia pande za wapi mkuu wangu?

Kuhusu hoja yako sina uhakika ila kwa kujumlisha moja na moja hiyo itakuwa haimo.

Kumbuka kitita kizima cha kufadhili ugaidi ni around 600,000/=.

Humo zimo pesa za nauli na hata za kununulia nguo kama incentives kwa mujibu wa shahidi kiongozi, mzee wa curable mistakes 😁😁.
 
Endeleeni kuota,Ila lazima mtakipata tu na huyo gaidi wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…