Kesi ya Mbowe: Shahidi #5 ana nini kipya?

🀣🀣Sawa chawa wa CHADEMA na wa mh.Mbowe....kongole kwako nawe kwa kuunga mkono kila msimamo na juhudi za upande huo....

 
Nachelea sana kuingiza "hisia" na "View attachment 1996637ushabiki koko" kwa kinachoendelea mahakamani....🀣

Mkuu nisiache kukurejea kwenye hoja yako.

Kumbuka kama binadamu mbivu na mbichi tunazijua. Hatuwezi kujidanganya kuwa hatuzijui.

Askofu Dr. Bagonza anasema: "Sijui kutaga mayai, lakini yao bovu nalijua."

Sihitaji kuwa mtalaamu wa IT kulijua hilo. Hata kuuliza kujiridhisha? Shahidi wako ni huyu hapa:



Ninakazia, "... kama radio cassette imemeza tape ..😁😁"

Mtalaamu huyo?

Hiiiiii bagosha!
 
Ukichukua hii laki 5 ukaongeza hela ya nguo 150,000, nauli na matumizi hii hesabu inabaki laki 6 au hesabu alipiga Polepole?
 
Shahidi wa Leo kala kona.
 
Mkuu Brazaj.....

Narejea tena....kesi ikiwa mahakamani ni vyema ikaachwa iendelee....kinyume chake inawezekana "PANDE HASIMU" zikatanguliza HISIA + USHABIKI KOKO tu.....

Hebu kuwa mkweli....umeniquote ndugu Martin Maranja....ila pasi na shaka naye ANAKUWA SHABIKI TU....USHABIKI TU....USHABIKI WA KUCHUKUA UPANDE......

Ni hivi.....

Mahakamani hakuna tofauti na "chumba cha upasuaji"....sasa inashangaza nini na kipi kwa SHAHIDI kumumunya maneno/kutoa sauti ndogo/kukwama maneno/kupaliwa na mate/kukwaruzika koo?!!!!

Aaaagh Brazaj 🀣
 
Kuna msemo usemao "kwenye shari huweza kupatikana heri..."

Maisha ya dunia kila hatua ni funzo....kila litokealo hutuongezea(binadamu,wananchi,watawala) UELEWA NA UFAHAMU WA KUWA BORA NA KUJIBORESHA ZAIDI......

Ya mahakamani yatamalizikia mahakamani....Kwani mkuu Brazaj huna imani na mahakama zetu hata chembe?!!!😲🀣
 
Sometimes you are right mkuu.Nataman Mbowe athibitishwe kuwa hana hatia lakin sio kwa approa h hiz za mihemko huku mitandaoni.
Tunakosa kuwa objective kwenye ku perceive hiz proceedings za mahakam
 
Shahidi wa Leo kala kona.

Ninakazia, "shahidi wa leo kala kona 😁😁"



Inatia moyo kuwaona makomando akiwamo Aboubakar Mbowe, katika machungu yao wakicheka. Bila shaka ni katika kustuana:

"Shahidi kala kona."

Hiiiiii bagosha!

La msingi ni kuwa tutakuwa nao hadi dakika ya mwisho.

Atusikie vyema kamanda Sirro.
 
Polisiccm wameigeuza Mahakama kuwa kijiwe cha wanywa kahawa kuleta umbea umbea kila siku. Aibu yao aibu ya CCM
 
Kwani wewe kwa uelewa wako yule shahidi umemchukulia kama lawyer au IT Person?Na kwa uelewa wako unadhan shahidi katoa ushahidi usioacha shaka wa kumtia mtu hatiani?
 
Mbowe alishambuliwa na nani akati alilewa faru hamuoni aibu kuongea unafiki
 

Mkuu wangu hatupo mahakamani kuweza kufanya assessment yetu wenyewe. Tumenyimwa nafasi hiyo ya kuyaona hayo katika Runinga na washirika zako.

Ashukuriwe sana bwana Martin na beberu kutupia hisani hii.

Nani asiyejua kuwa hamkutaki hata ya kina Martin yatufakie? Haki kutendeka ni pamoja na kuona haki ikitendeka mkuu wangu.

Haki haitolewi gizani.

Kweli?

1. LINU haiwezi kuwa ni neno la Kisukuma, kishona au hata Kibondei? Hii si kiingereza wala si jargon katika teknolojia yoyote rasmi. Labda kwenye nyungu.

2. Shahidi ka-print kwenye screen server?

3. Shahidi hakukana lolote alilolishwa mdomoni na mawakili wasomi wa upande wa utetezi kuhusiana na teknolojia ya mawasiliano alikodai yeye ni gwiji.

4. Shahidi hana habari na hackers.

5. Shahidi katika telecommunications Industry hajasikia kuhusu Pegasus.

6. Shahidi katoa taarifa za mteja bila kuzingatia sheria wala taratibu zozote zikiwamo za kimaadili.

7. Nk.

Gimme a break!

Hata nisihoji wala kujihoji kuwa huyu shahidi aliihusisha Tigo kweli kwenye ushahidi wake huu ili kuona haki inatendeka?

Nisihoji nia ya shahidi huyu katika kesi hii kama kweli ni nia yake kuona haki inatendeka?

Mkuu hii sasa ndiyo ile tofauti yetu na mazuzu?!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…